Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

Pesa imepoteza utu kabisa
Tatizo mnadhani wanawake wanapenda 'me mwenye mapesa mengi type za akina gsm au Christiano Ronaldo. Wala, angalau mtu aoneshe ana juhudi ya kazi na uwezo kumzidi. Is it too much to ask?

Tatizo linaanza wewe ni machinga, halafu unataka umiliki UN diplomat anayejua kuoga vizuri. Nyuzi za kulialia haizatisha blaza
 
Mbona zamani haikuwa kwa kiasi hicho? Kwa nyakati za sasa imekuwa kama mlipuko wa korona kwenye kutanguliza pesa kwenye mahusiano, ni nini kimesababisha hii hali iongezeke kwa kasi?

Zamani kati ya 10, unaweza kukuta wawili (2) ndio wanatanguliza matamanio ya pesa, ila nyakati hizi kati ya 10, 9 ndio wanatanguliza matamanio ya pesa.​
 
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.

Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.

Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.

Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?

Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.

Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.​
Chanzo cha yote ni nyoka kule Eden
 
Mbona zamani haikuwa kwa kiasi hicho? Kwa nyakati za sasa imekuwa kama mlipuko wa korona kwenye kutanguliza pesa kwenye mahusiano, ni nini kimesababisha hii hali iongezeke kwa kasi?

Zamani kati ya 10, unaweza kukuta wawili (2) ndio wanatanguliza matamanio ya pesa, ila nyakati hizi kati ya 10, 9 ndio wanatanguliza matamanio ya pesa.​
Zamani bibi na mama zetu walinyanyasika sana kwa kukosa visenti vyao wenyewe, waliogopa kuacha ndoa zao sababu walitufikiria watoto wao tutaishije. Kwa hiyo wakatulea na kutuambia, tafuta pesa yako mwenyewe. Ukipata mwenzako sawa, lakini ukipitia magumu huhitaji ufe, unaweza kuhudumia familia 'me awepo au asiwepo. Sasa kwa mantiki hii, unategemea kabisa 'ke ajichimbie kaburi kwa kuolewa na mtu ambaye kipato chake hakikidhi mahitaji yake? Au anaunga unga? Si ajipange, akae vizuri au atafute wa saizi yake kuliko kutesa binti wa watu
 
Je unachokisema kinajenga ndoa ama kinaharibu? Swali lingine, kwa nini nyakati hizi singo maza ni wengi sana, sababu inaweza kuwa ni nini? Na je, kulea mtoto mwenyewe bila baba ndio maadili?​
 
Hapa tunaongea kabla ya hiyo ndoa, ndoa ikifungwa hilo ni jambo la tofauti. Kufanya chaguzi sahihi ni muhimu sana, wewe equation unaweza kuruhusu binti zako kipenzi umemtunza, umemsomesha, yaani kifupi umemlea kwa upendo ukaona anaangukia mikononi kwa mtu ambaye unaona kabisa hana mbele wala nyuma, he has nothing to offer kwa binti yako..hahahaaa! Utaniambia tu ni mapenzi yao. Lakini itakuja kuwa mzigo kwako baadae akikuletea wajukuu ulee yeye ndio akatafutize maokoto. Kwahiyo hapana, mapema sana kabla ya ndoa ajikate

Kuna zile changamoto zinazotokea baada ya kufunga ndoa zisizozuilika mf. Maradhi, kuibiwa, hicho ni kitu kingine. Ni kuvumilia tu (mimi muumini wa mpaka kifo kiwatenganishe) na kuna zile changamoto za ubovu wa tabia (za kujitakia) mf. 'Me kuendekeza uhuni, kufuja mali kwa wanawake wa nje hicho ni kipengele kingine. Hata wakatoliki sisi tunaruhusu kutengana kwa muda (separation ..sio talaka) Mwanamke ajiongeze kuwekeza kwa kesho yake

Kuhusu single mama's siwezi kusema sana, maana sichuweshen zinatofautiana. Lakini uwepo wa baba ni muhimu kwa familia na jamii iliyonyooka. Sio baba jina tu, mtu basi ovyo ovyo hapana. Baba muadilifu mwenye kujua wajibu wake, aliyemfano wa ubaba kwa watoto wake wa kiume na mfano wa namna 'me anavyotakiwa kuwa kwa binti zake
 
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.

Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.

Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.

Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?

Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.

Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.​

Acha kulia lia. Tafuta hela.
 
Hapa tunaongea kabla ya hiyo ndoa, ndoa ikifungwa hilo ni jambo la tofauti. Kufanya chaguzi sahihi ni muhimu sana, wewe equation unaweza kuruhusu binti zako kipenzi umemtunza, umemsomesha, yaani kifupi umemlea kwa upendo ukaona anaangukia mikononi kwa mtu ambaye unaona kabisa hana mbele wala nyuma, he has nothing to offer kwa binti yako..hahahaaa! Utaniambia tu ni mapenzi yao. Lakini itakuja kuwa mzigo kwako baadae akikuletea wajukuu ulee yeye ndio akatafutize maokoto. Kwahiyo hapana, mapema sana kabla ya ndoa ajikate
Mi nitaangalia mkwe ambaye atakuwa tayari kama sehemu ya familia kwa kujali utu wangu pale uzeeni.
Pia atakayemuoa binti yangu ni lazima aishi kwenye boma langu, ili kupunguza upweke uko uzeeni.
Nitaangalia utu zaidi kwa yule atakayekuja kuoa binti zangu.​
 
Hapa tunaongea kabla ya hiyo ndoa, ndoa ikifungwa hilo ni jambo la tofauti. Kufanya chaguzi sahihi ni muhimu sana, wewe equation unaweza kuruhusu binti zako kipenzi umemtunza, umemsomesha, yaani kifupi umemlea kwa upendo ukaona anaangukia mikononi kwa mtu ambaye unaona kabisa hana mbele wala nyuma, he has nothing to offer kwa binti yako..hahahaaa! Utaniambia tu ni mapenzi yao. Lakini itakuja kuwa mzigo kwako baadae akikuletea wajukuu ulee yeye ndio akatafutize maokoto. Kwahiyo hapana, mapema sana kabla ya ndoa ajikate

Kuna zile changamoto zinazotokea baada ya kufunga ndoa zisizozuilika mf. Maradhi, kuibiwa, hicho ni kitu kingine. Ni kuvumilia tu (mimi muumini wa mpaka kifo kiwatenganishe) na kuna zile changamoto za ubovu wa tabia (za kujitakia) mf. 'Me kuendekeza uhuni, kufuja mali kwa wanawake wa nje hicho ni kipengele kingine. Hata wakatoliki sisi tunaruhusu kutengana kwa muda (separation ..sio talaka) Mwanamke ajiongeze kuwekeza kwa kesho yake

Kuhusu single mama's siwezi kusema sana, maana sichuweshen zinatofautiana. Lakini uwepo wa baba ni muhimu kwa familia na jamii iliyonyooka. Sio baba jina tu, mtu basi ovyo ovyo hapana. Baba muadilifu mwenye kujua wajibu wake, aliyemfano wa ubaba kwa watoto wake wa kiume na mfano wa namna 'me anavyotakiwa kuwa kwa binti zake
Nimekuelewa vizuri hapa
 
Mi nitaangalia mkwe ambaye atakuwa tayari kama sehemu ya familia kwa kujali utu wangu pale uzeeni.
Pia atakayemuoa binti yangu ni lazima aishi kwenye boma langu, ili kupunguza upweke uko uzeeni.
Nitaangalia utu zaidi kwa yule atakayekuja kuoa binti zangu.​
Utaweza kuvumilia milio ya PAH PAH PAH, binti yako akiwa anapelekewa moto?
 
Mi nitaangalia mkwe ambaye atakuwa tayari kama sehemu ya familia kwa kujali utu wangu pale uzeeni.
Pia atakayemuoa binti yangu ni lazima aishi kwenye boma langu, ili kupunguza upweke uko uzeeni.
Nitaangalia utu zaidi kwa yule atakayekuja kuoa binti zangu.​
Kifupi binti yako ataoa kijana wa watu 🤣
 
Back
Top Bottom