pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Wote madem wa kuanzia 80 kuja juu wote makuma tu.Kwa Tyrese huko Marekani kwa nini ameachana na mkewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote madem wa kuanzia 80 kuja juu wote makuma tu.Kwa Tyrese huko Marekani kwa nini ameachana na mkewe?
Tatizo mnadhani wanawake wanapenda 'me mwenye mapesa mengi type za akina gsm au Christiano Ronaldo. Wala, angalau mtu aoneshe ana juhudi ya kazi na uwezo kumzidi. Is it too much to ask?Pesa imepoteza utu kabisa
Tatizo mnadhani wanawake wanapenda 'me mwenye mapesa mengi type za akina gsm au Christiano Ronaldo. Wala, angalau mtu aoneshe ana juhudi ya kazi na uwezo kumzidi. Is it too much to ask?
Tatizo linaanza wewe ni machinga, halafu unataka umiliki UN diplomat anayejua kuoga vizuri. Nyuzi za kulialia haizatisha blaza
Chanzo cha yote ni nyoka kule EdenKama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.
Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?
Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.
Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.
Zamani bibi na mama zetu walinyanyasika sana kwa kukosa visenti vyao wenyewe, waliogopa kuacha ndoa zao sababu walitufikiria watoto wao tutaishije. Kwa hiyo wakatulea na kutuambia, tafuta pesa yako mwenyewe. Ukipata mwenzako sawa, lakini ukipitia magumu huhitaji ufe, unaweza kuhudumia familia 'me awepo au asiwepo. Sasa kwa mantiki hii, unategemea kabisa 'ke ajichimbie kaburi kwa kuolewa na mtu ambaye kipato chake hakikidhi mahitaji yake? Au anaunga unga? Si ajipange, akae vizuri au atafute wa saizi yake kuliko kutesa binti wa watuMbona zamani haikuwa kwa kiasi hicho? Kwa nyakati za sasa imekuwa kama mlipuko wa korona kwenye kutanguliza pesa kwenye mahusiano, ni nini kimesababisha hii hali iongezeke kwa kasi?
Zamani kati ya 10, unaweza kukuta wawili (2) ndio wanatanguliza matamanio ya pesa, ila nyakati hizi kati ya 10, 9 ndio wanatanguliza matamanio ya pesa.
Zamani bibi na mama zetu walinyanyasika sana kwa kukosa visenti vyao wenyewe, waliogopa kuacha ndoa zao sababu walitufikiria watoto wao tutaishije. Kwa hiyo wakatulea na kutuambia, tafuta pesa yako mwenyewe. Ukipata mwenzako sawa, lakini ukipitia magumu huhitaji ufe, unaweza kuhudumia familia 'me awepo au asiwepo. Sasa kwa mantiki hii, unategemea kabisa 'ke ajichimbie kaburi kwa kuolewa na mtu ambaye kipato chake hakikidhi mahitaji yake? Au anaunga unga? Si ajipange, akae vizuri au atafute wa saizi yake kuliko kutesa binti wa watu
Ndio unapewa bila shida yoyote
Wanawake akili zao wanazijua wenyeweIlikuwaje?
Hapa tunaongea kabla ya hiyo ndoa, ndoa ikifungwa hilo ni jambo la tofauti. Kufanya chaguzi sahihi ni muhimu sana, wewe equation unaweza kuruhusu binti zako kipenzi umemtunza, umemsomesha, yaani kifupi umemlea kwa upendo ukaona anaangukia mikononi kwa mtu ambaye unaona kabisa hana mbele wala nyuma, he has nothing to offer kwa binti yako..hahahaaa! Utaniambia tu ni mapenzi yao. Lakini itakuja kuwa mzigo kwako baadae akikuletea wajukuu ulee yeye ndio akatafutize maokoto. Kwahiyo hapana, mapema sana kabla ya ndoa ajikateJe unachokisema kinajenga ndoa ama kinaharibu? Swali lingine, kwa nini nyakati hizi singo maza ni wengi sana, sababu inaweza kuwa ni nini? Na je, kulea mtoto mwenyewe bila baba ndio maadili?
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.
Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?
Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.
Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.
Hapa tunaongea kabla ya hiyo ndoa, ndoa ikifungwa hilo ni jambo la tofauti. Kufanya chaguzi sahihi ni muhimu sana, wewe equation unaweza kuruhusu binti zako kipenzi umemtunza, umemsomesha, yaani kifupi umemlea kwa upendo ukaona anaangukia mikononi kwa mtu ambaye unaona kabisa hana mbele wala nyuma, he has nothing to offer kwa binti yako..hahahaaa! Utaniambia tu ni mapenzi yao. Lakini itakuja kuwa mzigo kwako baadae akikuletea wajukuu ulee yeye ndio akatafutize maokoto. Kwahiyo hapana, mapema sana kabla ya ndoa ajikate
Nimekuelewa vizuri hapaHapa tunaongea kabla ya hiyo ndoa, ndoa ikifungwa hilo ni jambo la tofauti. Kufanya chaguzi sahihi ni muhimu sana, wewe equation unaweza kuruhusu binti zako kipenzi umemtunza, umemsomesha, yaani kifupi umemlea kwa upendo ukaona anaangukia mikononi kwa mtu ambaye unaona kabisa hana mbele wala nyuma, he has nothing to offer kwa binti yako..hahahaaa! Utaniambia tu ni mapenzi yao. Lakini itakuja kuwa mzigo kwako baadae akikuletea wajukuu ulee yeye ndio akatafutize maokoto. Kwahiyo hapana, mapema sana kabla ya ndoa ajikate
Kuna zile changamoto zinazotokea baada ya kufunga ndoa zisizozuilika mf. Maradhi, kuibiwa, hicho ni kitu kingine. Ni kuvumilia tu (mimi muumini wa mpaka kifo kiwatenganishe) na kuna zile changamoto za ubovu wa tabia (za kujitakia) mf. 'Me kuendekeza uhuni, kufuja mali kwa wanawake wa nje hicho ni kipengele kingine. Hata wakatoliki sisi tunaruhusu kutengana kwa muda (separation ..sio talaka) Mwanamke ajiongeze kuwekeza kwa kesho yake
Kuhusu single mama's siwezi kusema sana, maana sichuweshen zinatofautiana. Lakini uwepo wa baba ni muhimu kwa familia na jamii iliyonyooka. Sio baba jina tu, mtu basi ovyo ovyo hapana. Baba muadilifu mwenye kujua wajibu wake, aliyemfano wa ubaba kwa watoto wake wa kiume na mfano wa namna 'me anavyotakiwa kuwa kwa binti zake
Hahaha oya punguza kidogoPia atakayemuoa binti yangu ni lazima aishi kwenye boma langu,
And like a fool who will never see the truth. I keep thinking something's gonna change.Baby sometimes love just ain't enough 🎼
Utaweza kuvumilia milio ya PAH PAH PAH, binti yako akiwa anapelekewa moto?Mi nitaangalia mkwe ambaye atakuwa tayari kama sehemu ya familia kwa kujali utu wangu pale uzeeni.
Pia atakayemuoa binti yangu ni lazima aishi kwenye boma langu, ili kupunguza upweke uko uzeeni.
Nitaangalia utu zaidi kwa yule atakayekuja kuoa binti zangu.
Kifupi binti yako ataoa kijana wa watu 🤣Mi nitaangalia mkwe ambaye atakuwa tayari kama sehemu ya familia kwa kujali utu wangu pale uzeeni.
Pia atakayemuoa binti yangu ni lazima aishi kwenye boma langu, ili kupunguza upweke uko uzeeni.
Nitaangalia utu zaidi kwa yule atakayekuja kuoa binti zangu.
Hakuna namna muhimu nizeeke bila kuwa na msongo wa mawazoKifupi binti yako ataoa kijana wa watu 🤣
Kibanda chao kitakuwa mbali kidogo ila ndani ya uzio mmoja 😀Utaweza kuvumilia milio ya PAH PAH PAH, binti yako akiwa anapelekewa moto?