Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wako ni mrefu sana, kwa kifupi we ni maskini....Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
Wewe si ndio uliewaambia ndugu zako unaishi kwenye li Bugando kubwa wewe, leo unawazimia na simu.Ubahili nao ni wangu why unanilazimisha kuuacha?
Hongera sana kwa kupambana.Kuna kipindi ndugu wa mke wangu walikua wengi mno home, nikiwa kijana mdogo kabisa ndio tunaanza maisha na wife.
Sijui walijua Mimi ni "Jesus" naweza walisha wote kwa kuombea tu Chakula kiji multiply.
Tatizo lenu watu wa Dar mkienda mikoani kwenu mnakua waongo sana, mnajisifia sana kila kitu duniani mnacho ninyi, mue wakweliHii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.

Tatizo ni kwama wakija mikoani wanatuaminisha wao kila kitu wanacho na maisha yao sio ya kula dona, wao ni piza, baga, yaani ni watu wa sosej, akila ndizi/mahindi basi ni ya kukaanga/kuchoma na anakula kwa chumvi na ndimu, sasa sisi ndio tunavutiwa na maisha mazuri ya Dar kwa Mjomba/Kaka, unajiuliza mi nikimchukulia mkungu wa ndizi si nitaenda kumchafulia kwake.Huu uzi mzuri,umefungua baadhi ya watu,akili.Unapotoka mkoani,kwenda Dar,hatakama huendi kufikia kwa mtu,unaenda kufikia loji,labda ukae siku kadhaa,umalize mambo yako,urudi mkoani,jitahidi uwabebee hata debe la mchele,mihogo,mkungu wa ndizi nk. wakazi wa Dar.
Mpigie mwenyeji wako,aje AKIPATA muda,loji utakayokuwepo,mkabidhi hivyo vitu,bilashaka atafurahi hatakama hutofika kwake kutokana na kutingwa na shughuli zako,ila atafurahi.Inaonekana Dar,laifu siyo mchezo.
Asante sana. Bado tunakusanya nauli. Tukipata ya kutosha tutakuja kukusalimia Krisimasi. Nitakuja mimi, Baba mdogo na mjukuu wake.Wageni karibuni sana nyumbani. Napenda wageni jaman njooni njooni
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mbona hata hamna gumu hapo?Hivi nimesaga unga na nimenunua viazi na mboga za majani gunia kesho nilitaka nifunge safari kwa Shemeji Dar mbona naona kuahirisha sasa kwenda kwa Dada Segerea
Huyo jamaa kaolewaacha roho mbaya mjinga we,siku ukipata shida hata huyo mke wako aliyekuoa atakukimbia,ngoja uumwe tu au upate uchizi uone kama huyo mke wako haja wapigia ndugu zako njooni mmchukue ndugu yenu amechizi,raha umekula na mke wako ukipata shida wanatafutwa ndugu zako,pumbafu we limbukeni mkubwa
Na wewe ukafurahi na ulivyokuwa huwapendi....roho kwatuuu😆😆😆Kwa kweli mke Ni pambooo...mume wangu aliwahi washushuaa ndugu zakee kuhusu mavazi yanguu...siwezagi kuvaa matenge Mimi nikiwaa home ni mwendo wa pensi na simple dress..sasa waoo mkewwee kashindikannaaa😄😄😄😄aliwasuuzaa
Hii ni scenario nyingineKuna rafiki yangu alienda anasimulia alivyofika akawa yeye ndio wa kununua mboga na mahitaji mengine [emoji23]
Shida hela....ila hata mimi hii siikubaliMimi nimewahi wakataria kaka zangu wawili ambao tunashibana sana,na wana mchangu mkubwa sana kwangu kufika hapa nilipo,mmoja anawatoto 7 na bado anazaa nikimuuliza unazaa watoto wanini ilihali hawa waliopo huwapi mahitaji muhimu!?,oooh nimlete Fulani aje asomee huko,Mimi hapana maana watoto wanaweza tugombanisha,kama ni msaada nitawasaidia wakiwa huko,maana hata huko kuna shule.
Siwezi na haitatokea,na nilishaambia ndugu zangu ,jamani tuleleane watoto ikiwa hatupo,yaani kifo,ikiwa sote tu wazima wa afya kila mmoja apambane na mzigo wake.
Nimeona kwa watu wengi sana hapa hasa walimu wenzangu wameishia kuvurugana na ndugu zao kisa watoto waliowachukua kuwalea.
Hatari saana
You believe in money and weath? Mkapa could not have died.Huu ujinga tu yaani nife halaf ndugu wamfariji mke na wtt uliona wapi!? Kitu pekee cha kuwafariji mke na wtt wake ni kuwaachia msingi mzuri wa miasha tu
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Na kuna watu wanaenda rikizo wiko moja tu mfukoni hana mia tena anaanza kusumbua wana kijijiTutafute hela wazee, sisi tukienda home mbona huwa tunabeba familia nzima tunabatiza safari kuwa tunaenda RIKIZO😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna rafiki yangu alienda anasimulia alivyofika akawa yeye ndio wa kununua mboga na mahitaji mengine [emoji23]
Tatizo mnajifanya mjiji maisha mazuri sasa sisi choka mbaya tunakuja huko tukidhani kuna nafuu.....kumbe sioDar mchawi chakula[emoji23],
Heheeewe mshamba hata Dar ni mkoa km mikoa mingine, ulifika lini huko? Hiyo inasababishwa na umaskini wa ukoo wako uliouacha nyumbani, vinginevyo hakuna mtu mwenye uwezo na uelewa wake ashobokee sehemu ya hovyo kuishi km DSM. Dar ndio inategemea kwa kila kitu huko unakokuita mikoani sasa mtu mwenye akili zake afuate nini huko, shida? We umetokea mkoa gani kwanza maana ulivyo mshamba unaona km umesgafika mbinguni. We kima usijerudi kutuandikia huu uozo
Aaaah mie sipogo huko mjini, nipo kijijini huku, maisha ya mjibi kupimiana chakula siyawezi[emoji23]Tatizo mnajifanya mjiji maisha mazuri sasa sisi choka mbaya tunakuja huko tukidhani kuna nafuu.....kumbe sio