Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hizo ni familia zilizopotoka zisizo jali utu badala yake MaliNani kakwambia kwamba watamfariji mkeo?
Watamnyang"anya kila kitu cha mume wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni familia zilizopotoka zisizo jali utu badala yake MaliNani kakwambia kwamba watamfariji mkeo?
Watamnyang"anya kila kitu cha mume wake
Familia nyingi za kitanzania ndivyo zilivyo.Hizo ni familia zilizopotoka zisizo jali utu badala yake Mali
😂😂 na tunarizika sana😂😂 bila kusahau mashimo yetu ni ya kulenga hatuna mbwembwe sisi
Swirrrie
Ntakusemea kwa Lamomy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakubondaa
Kwa kweli mke Ni pambooo...mume wangu aliwahi washushuaa ndugu zakee kuhusu mavazi yanguu...siwezagi kuvaa matenge Mimi nikiwaa home ni mwendo wa pensi na simple dress..sasa waoo mkewwee kashindikannaaa😄😄😄😄aliwasuuzaaMbaya zaidi MTU akishakaa kwako siku akiondoka huko anakofikia Ni kumsema mkeo vibaya.
Mara jamaa kaolewa maana yule mke Ni mvivu. Mke mchoyo, mke anadharau n.k
Kumbukeni mke wangu Ni pambo la nyumba yangu, sio MTU wa kusonga ugali kwa ajili ya mijitu ya kijijini.
Mke wangu ashindwe kunilisha vipaja vya kuku kisa Kuna mgeni au mke wangu asiwe na Uhuru wa kujiachia nyumbani kwake kisa mgeni!
Kwendreni huko.
Atakuwa anakaa porini kweli, wale wa masaki hawanaga nongwa hizoAnatuharibia huyu, mnakaribishwa sana Dar es salaam, huyu atakuwa anakaa huko mbali na mji anaona aibu watu kufika kwake.
Dar es salaam sio mji bora hata kuishi, ni mahali tu nakuja kutafuta tu maisha, ila umri ukienda tunarudi Mbarali kupigwa baridi huko.
Huu ujinga tu yaani nife halaf ndugu wamfariji mke na wtt uliona wapi!? Kitu pekee cha kuwafariji mke na wtt wake ni kuwaachia msingi mzuri wa miasha tuTuwe wanyenyekevu tunapopata mafaniko tusione wengine ni takataka hawafai.
Ukifa ndio watamfariji mkeo na watoto wako
Kirimu wageni toka mkoa ndugu yangu acha ubahili.Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
Ukishindwa kuwa muwazi kwa watu matokeo yake ndiyo haya. Watu wanatakiwa wakuelewe msimamo wako, unatakiwa uwaeleze kabla bila kumung'unya mung'unya maneno, waujue msimamo wako kabla hawajaanza kufanya haya yote mnayolalamikia hapa.Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanamke. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
Jamaa una majivuno 😂, dsm tu mzee unavimba,, vipi ungeishi London?Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.