Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

Noope sitaki niwe kikwazoo ktk familia ya watu, mbna hata kwa dada zangu siendi pia.

Napenda familia ziwe na amani na furaha, nilimsaidia jambo fulan, hakuaminiii alidhani nna kisasi, cna moyo huo.

Pale ni kwake na ana maamuzi nani akae nani asikae.
Kama kweli hauna kisasi nao hongera, n vizuri kuwaelewa watu na maisha yao bila kujipa umuhimu kwenye maisha yao. Kikubwa ni kuishi maisha yako kwa amani na usibebane na visasi. Kuna watu hali kama hiyo ikitokea ndio sababu ya chuki wazi wazi na kukomoana.
 
Duuuh! nilirudi kijijini kwetu,nikakuta stori ya bibi mmoja,alienda kwa mwanae mjini,alinyanyasika Sana,hadi akaomba arudi kijijini kwenye maisha ya shida.Watu wa mjini msiwadharau watu wa kwenu,chakula tu au malazi ni nongwa...?
Anyway mnasubiriwa,mkifa mkazikwe huko vijijini,ambako wachimba kaburi mtawakuta haohao mnaowajandia,wasije makwenu.
Kuchimba kaburi ni kazi yenye kuhitaji malipo kwa sehemu nyingi.

Bila hela kaburi halichimbwi na pia lazima pombe iwepo ya kutosha.
 
Mkuu nimestikika kwa kusikia hicho ulicho kiwaza! Huenda umewaza Kwa kutumia makalio! Kabisa ndg Yako katoka Kijijini umuache stend na unaamua kuzima na simu kabisa? Kumbuka hao ndo watakuzika wataomboleza kifo chako hao ndo watapalilia kabuli lako! Hao ndio watakulelea Watoto wako. Elewa ndg atabaki kuwa ndg tu kama hutaki ndg Yako kumsaidia na yupo stendi nani amsaidie ? Hata kama maisha ni magumu kiasi mwambie ukweli akae siku chache mrudishe sio kumtelekeza wengine Bado tunajitafta yamkini tunakula na watu Baki ambao hata si ndg zetu na tumetengeneza undugu. Naishi na kijana alikuja kutafta maisha huku baada kuishi nae Kwa mwaka mmoja nikaamua nimuajiri wazazi wake wakaniokba niende nae wakanifamu

Nilipokelewa Vizuri
Nikachinjiwa mbuzi
Nikapewa debe3 mpunga Ulo kobolewa!
Jogoo la kuku
Michembe debe1

Kwann ndg yangu nimtelekeze? Siwezi

Nina wasiwasi na jinsia Yak😵va.


Haya makaburi yaliyojaa misitu na magugu pori yaliyokomaa ndugu zao wako wapi?

Hawa yatima wanaodhulumiwa, kunyanyaswa na kutengwa mpaka kutelekezwa ndugu za wazazi wao wako wapi?


Hawa ombaomba na watoto wa mtaani wote hawana ndugu?



Tujifunze kuwa na mipaka na kuheshimu mipaka ya wenzetu, mawasiliano katika maamuzi yanayomuhusisha/yanatakayo muathiri mtu mwingine ni lazima.






Japo kumtelekeza ndugu kituoni sio vizuri, kheri umtafutie usafiri wa kurudi hapo hapo ama haraka iwezekanavyo.
 
Nakubaliana nawewe, lakini ni rahisi zaidi mwanamke kuwavumili ndugu zake mapungufu Yao kuliko ya ndugu wa mume, ingawa Mara nyingi wanawake waliotoka kwenye maisha ya shida ndo wanakuwaga na roho mbaya sana kwa ndugu wa mume kwasababu ya roho y kimaskini tuu.
Hata mume ni rahisi kuvumilia mapungufu ya ndugu zake. Ndo maana ndugu wakogombana ni bota ukae pembeni..ukiingilia unaaibika mchana kweupe kwasababu watapatana. Na wewe uliyeingilia unakuwa adui yao.
 
A direct person doesn't switch off his phone, coward is the right name! Direct person respectful says:

  • I apologize, I can't help.
  • Not this time, may be next time.
  • ningejua mapema ningejiandaa
  • Nyumba yangu haitoshi.
  • Naweza kukusiriri siku moja.
  • Nitakusaidia hela ya lodge 1 night.

Huwezi telekeza mtu unayemfaham stand, na ukazima simu halafu uje hapa kungoja tu support ujinga huo sisi.
Dada mbona umepanic sana? Ulishatendwa? Mi nimeandika kuwapa watu taarifa ukisupport na usipo thread yangu inabaki na hivi unasaidia comments zinakuwa nyingi. Umekalia mjiti vibaya jishike dada.... simu ni yangu i can switch anytime i want to. And its my home i am free to welcome or not welcome anybody. Ndo muwe makini msitake surprise za kipuuzi.
 
Kinachosikitisha zaidi, ndugu wa mke, wakija haina shida, Ila ndugu wa mume ndo wanalalamikiwa sana, hauwezi kumzimia simu ndugu yako huo ni upumbavu
Ni upumbavu kudhani unachowaza wewe na wengine wanawaza.. simu ni yangu mtu akinisumbua its either na mblock au nazima nipumzike. Acheni kuja kujipendekeza kwa mashemeji zenu. Mnatusumbua sana nyie wa bush.
 
# Hata dar mbn ni mikoani
# Wewe una asili ya roho mbaya - wewe mbn ukienda kijijini huwa unafika kwa kila ndugu?
Roho Mbaya yangu ... Ipake rangi iwe nzuri. Nikifika Mkoani zipo Hotels na Lodges sitaki shida na mtu wala maneno maneno. Roho Mbaya ninayo sana... Shetani huwa ananionea wivu kwa roho mbaya yangu
 
Kuchimba kaburi ni kazi yenye kuhitaji malipo kwa sehemu nyingi.

Bila hela kaburi halichimbwi na pia lazima pombe iwepo ya kutosha.
Kiuhalisia ni pesa tu hakuna ambaye hajawahi zikwa sababu eti hakuwa anakaribisha kila ndugu mjini. Hapa Dar mil 1.8 unachimbiwa kaburi, unazikwa linajengewa. Simple like that.
 
Mbaya zaidi MTU akishakaa kwako siku akiondoka huko anakofikia Ni kumsema mkeo vibaya.

Mara jamaa kaolewa maana yule mke Ni mvivu. Mke mchoyo, mke anadharau n.k

Kumbukeni mke wangu Ni pambo la nyumba yangu, sio MTU wa kusonga ugali kwa ajili ya mijitu ya kijijini.

Mke wangu ashindwe kunilisha vipaja vya kuku kisa Kuna mgeni au mke wangu asiwe na Uhuru wa kujiachia nyumbani kwake kisa mgeni!

Kwendreni huko.
Pole,
 
Jamaa mbona una hasira dhidi ya ndugu zako, wallikufanya nini mpaka unawaitia Mijitu?

Mkuu Jaribu kuwa Mnyenyekevu basi.

Hao unaowadharau ipo siku utawakumbuka na hutawaona.

Kama huwezi kumsaidia mtu basi achana naye ila usimpe majina mabaya eti Mijitu.....Itakuwa wewe Kweli Umeolewa maana hizo hasira tu sio kidogo.
[emoji419][emoji419]
 
Mbaya zaidi MTU akishakaa kwako siku akiondoka huko anakofikia Ni kumsema mkeo vibaya.

Mara jamaa kaolewa maana yule mke Ni mvivu. Mke mchoyo, mke anadharau n.k

Kumbukeni mke wangu Ni pambo la nyumba yangu, sio MTU wa kusonga ugali kwa ajili ya mijitu ya kijijini.

Mke wangu ashindwe kunilisha vipaja vya kuku kisa Kuna mgeni au mke wangu asiwe na Uhuru wa kujiachia nyumbani kwake kisa mgeni!

Kwendreni huko.
acha roho mbaya mjinga we,siku ukipata shida hata huyo mke wako aliyekuoa atakukimbia,ngoja uumwe tu au upate uchizi uone kama huyo mke wako haja wapigia ndugu zako njooni mmchukue ndugu yenu amechizi,raha umekula na mke wako ukipata shida wanatafutwa ndugu zako,pumbafu we limbukeni mkubwa
 
A direct person doesn't switch off his phone, coward is the right name! Direct person respectful says:

  • I apologize, I can't help.
  • Not this time, may be next time.
  • ningejua mapema ningejiandaa
  • Nyumba yangu haitoshi.
  • Naweza kukusiriri siku moja.
  • Nitakusaidia hela ya lodge 1 night.

Huwezi telekeza mtu unayemfaham stand, na ukazima simu halafu uje hapa kungoja tu support ujinga huo sisi.
Ni ujuha kutelekeza ndugu, be tumelelewa kwenywe extended family tusiji isolate, na wanaume tulivyowapumbavu tunaweza kukomaa kwa ndugu zetu lakini ndugu wa mke wakala mseleleko, tukawasomesha ndugu wa mke lakini wa kwetu tukawaweka pembeni ni ujuha
 
Back
Top Bottom