Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hata Ulaya ukifa wanatafutwa Ndugu zako. Kama uliwatupa ndio utazikwa na CityWatu tunajisahaulisha haraka mno au pengine hatufikiri sawasawa, maisha ya Afrika Ni undugu,likikupata ndugu zako ndio wataokubeba
Huku Hakuna funeral companies kwamba ukifa itaenda lipia gharama uzikwe ,Ni Hao ndugu zetu tunaowanyanyapaa ndio wachimba kaburi
Ikitokea umeumwa Ni Hao Hao ndugu ndio watakua wauguzi
Indeed we need to be humble, mengine Ni umaskini kama walivyosema wachangiaji wengi