Shida unasikia mavi yananuka hujiulizi yamefikaje hapo....
Ndio shida ya watu wa nchi yetu...hawajui kutafuta mzizi wa tatizo
'
Wale ni wanadamu kama wewe,unatakiwa ujiulize wamefikaje hapo,nini chanzo?
Wewe unakimbilia kutoa uzi,wakati nchi nzima ni ombaomba wewe included!
Wale ni watu na wanataka kula kama wengine,ni jukumu lao kujitafutia chakula hata kama nikuua wewe..
Ni masikini hao ambao ni nchi nzima,hadi wewe ni masikini sema ni masikini aliechangamka,maana hata wewe unaomba walio mbele yako katika social ladder.
Nani kakwambia katika kujitafutia ugali ili u-survive kuna "Utanzania"?Utanzania ni nini hasa?
Utanzania ni mazuri na mabaya yanayofanywa na watu wake,including kua ombaomba!
Acha kujifanya wewe