Hii tabia Musoma inakera sana

Hii tabia Musoma inakera sana

Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada.

Kumekua na tabia yaajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume.

Lakini jambo linalo nisikitisha nikua vijana hawa hasa wakiume wamekua omba omba wakiwa kwenye kumbi hizo za starehe tena kazi yao ni kuzunguka na cup wakikufikia kwako wanasogea karibu na kukuambia uwawekee kinywaji kidogo haijalishi ni kinywaji gani unatumia yeye ili mladi aonekane anakunywa na kinachoniudhi zaidi ni pale anapokuja mmoja akikuomba ukimuwekea kidogo tu anaenda kuwaambia wenzake nao wanakuja kukuomba na ukisha mpa mmoja basi jua kuanzia siku hiyo wewe ni rafiki yake wa karibu sana kila unapokuwa unaenda akikuona tu anakufuata na kukubembeleza umnunulie kinywaji au umuwekee kidogo kwakwel hii tabia imekuwa ikinikwaza sana wanapokuona umeingia wanakuja na kuanza kukusumbua.
Niletee mimi huku niliko niwachape viboko halafu wajifunza
 
Hii tabia unakuta kwa vijana Wa kiarusha pale shivazi.mrina bar,picnic, kitundu,na Huo mtaa Wa picnic Kwenda mbele mbele kidogo kuna vijana hapo Wa Arusha kazi ni kutembea na bilauri ya plastic kuomba ama kugongea pombe
 
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Yalaaaa toa raman
 
Ni masikini,wafanyeje?

Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?

They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!

Shukuru mungu hawajakuua
Unaongelea kula yeye anasema Wakurya na Wajita sasa wanaombaomba wapunguziwe K vant kwenye kikombe mara bia yaani wanatengeneza Cocktail tu na ukuwadi
 
Tanga, Moro, Dar, Mbeya na Mwanza sijaiona hii tabia.
Hii ndio mikoa nimeingia kwenye kumbi za starehe bila kukutana na hao ombaomba wa vinywaji.
Hvi Musoma pia kuna ombaomba wa barabarani kama ilivyo Mwanza, Dodoma, Dar na Morogoro? Naombeni jibu maana mimi maeneo ya ombaomba wa barabarni huwa yananikera kwelikweli tena wengine ni wazima kabisa wa akili na viuongo vya mwili.
 
Shida unasikia mavi yananuka hujiulizi yamefikaje hapo....

Ndio shida ya watu wa nchi yetu...hawajui kutafuta mzizi wa tatizo
'
Wale ni wanadamu kama wewe,unatakiwa ujiulize wamefikaje hapo,nini chanzo?

Wewe unakimbilia kutoa uzi,wakati nchi nzima ni ombaomba wewe included!

Wale ni watu na wanataka kula kama wengine,ni jukumu lao kujitafutia chakula hata kama nikuua wewe..

Ni masikini hao ambao ni nchi nzima,hadi wewe ni masikini sema ni masikini aliechangamka,maana hata wewe unaomba walio mbele yako katika social ladder.

Nani kakwambia katika kujitafutia ugali ili u-survive kuna "Utanzania"?Utanzania ni nini hasa?

Utanzania ni mazuri na mabaya yanayofanywa na watu wake,including kua ombaomba!

Acha kujifanya wewe
Unaongelea as if hao watu wapo jangwani ,au Kuna janga limewakuta wanalia shida kumbe watu wamejipodoa wapo club wanaomba bia...

Hv hujisikii aibu kutetea ujinga km huo?

Kweli kabisa mtu unatoka kwako kwenda kwenye starehe kuomba pombe!!?
Inatia hasira Sana halafu anakuja mtu anasema na wao Ni binadamu....

Jitafakari bro! Usipende vitu vya mlegezo utalegezwa....
 
Ni masikini,wafanyeje?

Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?

They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!

Shukuru mungu hawajakuua
Hao hawaombi chakula bali pombe
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada.

Kumekuwa na tabia ya ajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa Mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume.

Lakini jambo linalo nisikitisha nikua vijana hawa hasa wakiume wamekua ombaomba wakiwa kwenye kumbi hizo za starehe tena kazi yao ni kuzunguka na cup wakikufikia kwako wanasogea karibu na kukuambia uwawekee kinywaji kidogo haijalishi ni kinywaji gani unatumia yeye ili mladi aonekane anakunywa na kinachoniudhi zaidi ni pale anapokuja mmoja akikuomba ukimuwekea kidogo tu anaenda kuwaambia wenzake nao wanakuja kukuomba na ukisha mpa mmoja basi jua kuanzia siku hiyo wewe ni rafiki yake wa karibu sana kila unapokuwa unaenda akikuona tu anakufuata na kukubembeleza umnunulie kinywaji au umuwekee kidogo kwakwel hii tabia imekuwa ikinikwaza sana wanapokuona umeingia wanakuja na kuanza kukusumbua.
Wewe utakuwa unatembelea vilabu vya gongo.
 
Nashindwa kuwaelewa ujue

Huyu mlevi aliyeko baa unataka aombe nini baba kama sio pombe?

Mtaka aombe malazi na dawa au shati au viatu?

Kaomba pombe kwa mlevi mwenzake mwenye hela ambae ni wewe hapo

Maana wewe hapo unaomba vitu vingine kwa wakubwa zako wa kimaisha kila siku,ila uombaji wako wewe ni sahihi ila sio huo wa huyo mlevi mwenzio?

Nikifanya mimi A ni sawa,yule akifanya A hiyo hiyo sio sawa!

Hii naona ni kujifanya mna madaraka ya kutukana walio chini yenu,wakati na nyie mna walio juu yenu mnawaombaga favour kibao kila siku

Acheni double standards nyie mamalia wenzetu!
Mkuu tunaongea tu kiutani hatujawa siriazi kihivyo usikasirike.
 
Back
Top Bottom