Hii tabia Musoma inakera sana

Hii tabia Musoma inakera sana

Wanazunguka na chombo kuomba vinywaji!!! Naona jambo la ajabu na geni kweli kwangu... sijui ni kwavile siendagi hizo sehemu (kumbi) za starehe au vipi ila sikatai maana...

Kuna katabia kanakofanania na hako tunakutana nako sana migahawani kwa mama lishe hasa hasa mikoa ya ukanda wa pwani

Wamama/wadada wanaouza vyakula wakiona umeenda mteja ambae ni kijana aisee utajuta! Maana mtu anakupimia (anakuuzia) chakula halafu anakwambia yeye ana njaa ikiwezekana umnunulie na yeye chakula

Haitoshi unamuagiza kinywaji (maana mara nyingi ukienda mgahawani basi huduma zingine nyingi kama siyo zote wanakufanikishia wao- mamalishe) basi na yeye anadai kinywaji au chenji ya kinywaji

Haishii hapo bado wakati wa kuondoka unalipia msosi anakupa chenchi lakini huku anakushawishi usamehe jero akapate maji baridi duh!!![emoji38][emoji38][emoji38]

Halafu tabia hiyo naona imeshamiri hasa kwenye migahawa yenye wahudumu zaidi ya mmoja. Unakuta mama mtu mzima (mara nyingi ndiye boss mmiliki wa biashara) halafu kunakuwa na binti au wadada na hao ndo wenye tabia ya kuomba omba sasa sijui hawalipwi vizuri na boss wao

Tena mara nyingi wanafanya hayo kimya kimya yule mama mtu mzima (boss) asisikie wala kuelewa kinachoendelea

Asa unadhan wanalipwa vizuri?unakuta analipwa 2000 kwa siku au 3000
Sema tabia kuomba omba tu imewakaa
 
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
[emoji16][emoji16]
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada.

Kumekuwa na tabia ya ajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa Mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume.

Lakini jambo linalo nisikitisha nikua vijana hawa hasa wakiume wamekua ombaomba wakiwa kwenye kumbi hizo za starehe tena kazi yao ni kuzunguka na cup wakikufikia kwako wanasogea karibu na kukuambia uwawekee kinywaji kidogo haijalishi ni kinywaji gani unatumia yeye ili mladi aonekane anakunywa na kinachoniudhi zaidi ni pale anapokuja mmoja akikuomba ukimuwekea kidogo tu anaenda kuwaambia wenzake nao wanakuja kukuomba na ukisha mpa mmoja basi jua kuanzia siku hiyo wewe ni rafiki yake wa karibu sana kila unapokuwa unaenda akikuona tu anakufuata na kukubembeleza umnunulie kinywaji au umuwekee kidogo kwakwel hii tabia imekuwa ikinikwaza sana wanapokuona umeingia wanakuja na kuanza kukusumbua.
Duuu kama ni ushamba sasa huko wamekubuhu. Yaani hayo yanafanyika sehemu za starehe, sasa si wakajiuze?[emoji1]
 
Kwa huku mwanza ni vice vesa yaani wadada ndio waomba vinywaji,atajisogeza karibu na kuanzisha story za uongo na kweli kisha ataomba bia, hii hunitokea mara nyingi na last time niko zangu las Vegas nakula vyombo usiku dada mmoja kanishobokea eti twende diamond kule ndio kuna amsha amsha,nikamuangaliaaaaa nikamuuliza kwani tulikuja wote mimi na yeye!!

[emoji23][emoji23][emoji23]
Akajibuje
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada.

Kumekuwa na tabia ya ajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa Mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume.

Lakini jambo linalo nisikitisha nikua vijana hawa hasa wakiume wamekua ombaomba wakiwa kwenye kumbi hizo za starehe tena kazi yao ni kuzunguka na cup wakikufikia kwako wanasogea karibu na kukuambia uwawekee kinywaji kidogo haijalishi ni kinywaji gani unatumia yeye ili mladi aonekane anakunywa na kinachoniudhi zaidi ni pale anapokuja mmoja akikuomba ukimuwekea kidogo tu anaenda kuwaambia wenzake nao wanakuja kukuomba na ukisha mpa mmoja basi jua kuanzia siku hiyo wewe ni rafiki yake wa karibu sana kila unapokuwa unaenda akikuona tu anakufuata na kukubembeleza umnunulie kinywaji au umuwekee kidogo kwakwel hii tabia imekuwa ikinikwaza sana wanapokuona umeingia wanakuja na kuanza kukusumbua.
Acha kutuchafua wewe kunguru wewe umekwenda kustarehe maeneo ya Mateja halafu unapiga kelele nenda club uone kama kuna huo upuuzi.Wewe kama hujui kwenye pombe za kienyeji watu wanashare vinywaji .
 
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mura uwe nidhamu
Heshimu Mkoa wetu
Hatuna vijana Kama hao Tata kwenye kumbi zetu.
Maeneo gani ebu Specify.
 
Hiyo ni observation yako binafsi

Unaruhusiwa kutoa maoni

Mwingine atakuja na mtazamo kinyume na wewe kabisa

Tuishie kusema,kila mtu na mtazamo binafsi kuhusu Musoma....!

Wewe kila wakati kwenye simu yako unaomba washikaji wako misaada mbalimbali ya mikopo ya pesa....hiyo nisahihi,ila mlevi mwenzio mliyekutakan kwenye ulevi akikuomba pombe ni vibaya?

Kama mnaweka double standards namna hii basi ni sawa!

Mimi sio mlevi,huwezi nikuta baa yeyote nafanya chochote!
👍
 
Hivi jaman pale tembo beach [emoji905] washapaendeleza au pako vile vile tu
 
Hivi jaman pale tembo beach [emoji905] washapaendeleza au pako vile vile tu
Pamezidi kuchoka na mvua za mwaka juzi mwishoni mpaka mwaka jana mwanzoni zilisababisha ziwa kujaa sana hivyo eneo la beach limepungua sana na kuharibika.
 
Mura uwe nidhamu
Heshimu Mkoa wetu
Hatuna vijana Kama hao Tata kwenye kumbi zetu.
Maeneo gani ebu Specify.
Gorofan pale mzee uje siku mmoja utajione alafu uje ulete feedback hapa Jf ikibidi ni tag kabisa
 
Back
Top Bottom