Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito

ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda

Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe, zidi ya maadui wabaya

Hilo sitaki kuliamini amini maana kuna ulazima gani wa kuomba ikiwa anajua naitaji nini juzi nimeweka mkeka wa Teni win nipate mtaji kanikazia

nikaona pengine Mungu kachukia ngoja nifanye kazi halali nikaenda omba kazi ya usaidia kwa mansons

Nimepiga wiki mbili nimeishiwa kudhulumiwa sasa kuna umuhimu gani wa kuomba huku wezi na matapeli yanafanikiwa hapa nyau nyau kama farao roho jiwe akili chuma no Sara no maombi kama moton🔥🔥 poa kama mbinguni

Yeye tu achague kupangiwa sitaki bwai bwai

Ooh ooh Hadi natoka nje ya mada

Tuendelee na mada

Wakuu anaejua hiyo inatokana na nini??
 
Ukilala tu muda huo, unashenyetwa mkuu, yaani sio unaamshwa wamekudanganya, muda huo huwa unapapaswa, kidogo wakuvue nguo ndugu yetu ww amka tu.
Mfano mm na familia yangu hatuamagi muda huo, so ni wewe tu, kuwa makini, ww shtuka, alafu utalala baadae. Wanakupapasa hao.
 
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito

ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda

Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe, zidi ya maadui wabaya

Hilo sitaki kuliamini amini maana kuna ulazima gani wa kuomba ikiwa anajua naitaji nini juzi nimeweka mkeka wa Teni win nipate mtaji kanikazia

nikaona pengine Mungu kachukia ngoja nifanye kazi halali nikaenda omba kazi ya usaidia kwa mansons

Nimepiga wiki mbili nimeishiwa kudhulumiwa sasa kuna umuhimu gani wa kuomba huku wezi na matapeli yanafanikiwa hapa nyau nyau kama farao roho jiwe akili chuma no Sara no maombi kama moton🔥🔥 poa kama mbinguni

Yeye tu achague kupangiwa sitaki bwai bwai

Ooh ooh Hadi natoka nje ya mada

Tuendelee na mada

Wakuu anaejua hiyo inatokana na nini??
Tafiti zinasema jambo lolote ukilifanya KWA wiki tatu mfululizo, inaanza kuwa tabia.

Waingereza wanasema una Adapt

Hivyo sio ugonjwa wala sio ajabu Mkuu ni mazoea tu.
 
Shangazi yangu aliwai niambia kuwa kuna kuwa na watu wabaya kama vile wachawi so uwezi kulala
So ufanyaje ilitokea hiyo Hali .......maana hata Mimi Nina Hali sawa na mtoa mada .......
Hata kama nimelala saa 5 usiku....na Kuna muda nakuwa na kama machale ...kitu nikikiacha au nikaonya .....kina kua na athari baadae .......
 
Mkuu huu Uzi ni two in one... Tuanze kujadili kipi hapa.. Mungu kukuamsha usiku umuombe au mkeka wko kuchanika na kudhulumiwa site?
 
Mkuu ulishawahi kupewa penzi zito kwenye mida ya saa nne hivi halafu baada ya kulala hiyo hali ikakutokea?
Zamani nilikuwa nikila hiyo kitu napatwa na kausingiz mwanana ila kwass hako kausingizi sipati yani kalishapoa kabisa. Hii unalizungumziaje kitalam?
 
Wanadai zamani watu walikuwa wanalala jua likizama tu. Saa kumi na mbil jioni. Saa tano usiku wanaamka. Wanapiga stori, wanakula kiporo, wanatoka kupunga upepo kisha wanarudi kulala tena. Pia kuna wale wa Ulaya mbali ambao summer jua linawaka hadi saa sita usiku. Ratiba yao ya kulala sijui itakuwaje?
 
Back
Top Bottom