mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito
ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda
Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe, zidi ya maadui wabaya
Hilo sitaki kuliamini amini maana kuna ulazima gani wa kuomba ikiwa anajua naitaji nini juzi nimeweka mkeka wa Teni win nipate mtaji kanikazia
nikaona pengine Mungu kachukia ngoja nifanye kazi halali nikaenda omba kazi ya usaidia kwa mansons
Nimepiga wiki mbili nimeishiwa kudhulumiwa sasa kuna umuhimu gani wa kuomba huku wezi na matapeli yanafanikiwa hapa nyau nyau kama farao roho jiwe akili chuma no Sara no maombi kama moton🔥🔥 poa kama mbinguni
Yeye tu achague kupangiwa sitaki bwai bwai
Ooh ooh Hadi natoka nje ya mada
Tuendelee na mada
Wakuu anaejua hiyo inatokana na nini??