Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.

Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
 
Kwa sasa tumeanza na sisi kutumia majina ya kwetu. Mfano tuna wachezaji kwa sasa wanaitwa kiungo punda, kiungo nungunungu, kiungo konokono, nk
 
Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.

Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Utasikia John Bocco Adebayor enzi hizo mara sijui nani nani Ramadhani Singano Messi na sijui aliishia wapi
 
Daktari wa mpira
Mzee wa kazi chafu
Babu kaju
Mzee wa makorokocho
Vladimir Putin
Mdaka mishale
Mdaka risasi
Zanzibar finest
Show me the way
Air manula

Mkuu unataka tutumie kama hayo sio majina kama ya vitu vya mganga .
 
Haha mleta mada ana uchungu sana asee...mpeni hata maji ya baridi hapo kabla hajapigwa mtu kofi.
 
Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.

Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Wengine wajiita Chura a.k.a Utopolo
 
Kilichokuuma ni Guadiola mnene, ila ndivyo ilivyo ukiwa maarufu zaidi mwengine anaeibukia kwenye fani husika anafananishwa na wewe sababu mnafanya kazi inayofanana.

Sasa unategemea Virgil Van Dijke aitwe Nyosso?
 
Nadir Haroub Ali "Canavaro"
Mohammed Hussein Zimbwe "Tshabalala"
Harun Moshi Shaban "Boban"
Ramadhan Singano "Messi"
Seleman Matola "Veron"
John Bocco "Adebayor"

Shadrack Nsajigwa "FUSO"
Sunday Manara "COMPUTER"
Kelvin Yondani "COTTON JUICE"
Salum Aboubakari "BABU KAJU"
 
Back
Top Bottom