Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.

Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Mgunda waendelee kumwita manyonyo na timu yake manyonyo fc, majina haya ndio yana uhalisia. Kuitana Guardiola ni kudanganyana.
 
Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.

Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Kabisa...
Charles hilalry alikua anawapa majina ya kiswahili, hapa hapa...
 
Back
Top Bottom