APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
- #21
Hii ishu imeanzia dasalade,huku nkoani hakunaAfrika wana safari ndefu sana, kutwa kucha kukalia ujinga na kuamini vitu vya ki$+eNge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ishu imeanzia dasalade,huku nkoani hakunaAfrika wana safari ndefu sana, kutwa kucha kukalia ujinga na kuamini vitu vya ki$+eNge
Uchawi unafundishwa au unazaliwa naoNi trick ndogo ndogo tuu hata wewe unaweza kujifunza, ingia youtube utajifunza mengi tuu na wengine watakuita mchawi
No idea na wala sijawahi kukutana nao, kuna wataalam humu hope watakusaidiaUchawi unafundishwa au unazaliwa nao
Natamani niwe na uchawi wa kuiba pesa bankNo idea na wala sijawahi kukutana nao, kuna wataalam humu hope watakusaidia
Nashangaa watu na imani hizo....hakunaga chuma uleteWabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote.
Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta haijakatwa pembeni wanasema ukikata inakuepusha na chuma ulete...
Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete, kwanza siaminigi viimani vya kipumbavu kama hivyo, daima akili ndogo huwaza ujinga...
Watanzania wenzangu tuacheni imani za kijinga, kama huna matumizi na hela yanayoeleweka daima utapoteza pesa zako, sio unasingizia chuma ulete...
Chuma ulete ni hadithi za kufikirika tu,hazina maana tuzitukuze...
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
Sema inasikitisha unamuomba mtu chenji anaogopa kukupa,daah tanzania nchii hii ya pekee yakeNashangaa watu na imani hizo....hakunaga chuma ulete
Ni trick ndogo ndogo tuu hata wewe unaweza kujifunza, ingia youtube utajifunza mengi tuu na wengine watakuita mchawi
Uchawi ungekuwepo kama wengi humu wanavyodai kusingekuwa na biashara ya Bank, mfano wako unaonyesha kwa kiasi fulani uchawi ni mambo ya kufikirika tuuNatamani niwe na uchawi wa kuiba pesa bank
Hivi kuna chuo cha kunifunza uchawiHata uchawi nawezajifunza. Issue ni kuwa hivyo vitu vinakubaliana na kanuni za kisayansi au uchawi?
Natamani nijue uchawi hata wa bushaUchawi ungekuwepo kama wengi humu wanavyodai kusingekuwa na biashara ya Bank, mfano wako unaonyesha kwa kiasi fulani uchawi ni mambo ya kufikirika tuu
Sijui kama uchawi unakubaliana na Newton's laws of motions or gravityHata uchawi nawezajifunza. Issue ni kuwa hivyo vitu vinakubaliana na kanuni za kisayansi au uchawi?
Huwa najiuliza hao wazungu wakwanza kugundua hizo kanuni walitoa wapiSijui kama uchawi unakubaliana na Newton's laws of motions or gravity
Huyu kazid,amekata likipande likubwa sana au alikuta imekatwa kwahyo akakata tena
Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote.
Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta haijakatwa pembeni wanasema ukikata inakuepusha na chuma ulete...
Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete, kwanza siaminigi viimani vya kipumbavu kama hivyo, daima akili ndogo huwaza ujinga...
Watanzania wenzangu tuacheni imani za kijinga, kama huna matumizi na hela yanayoeleweka daima utapoteza pesa zako, sio unasingizia chuma ulete...
Chuma ulete ni hadithi za kufikirika tu,hazina maana tuzitukuze...
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
Mkuu nawe unatakiwa ukate.cha kwako hata ukikuta imekatwaH
Huyu kazid,amekata likipande likubwa sana au alikuta imekatwa kwahyo akakata tena
Huwa najiuliza hao wazungu wakwanza kugundua hizo kanuni walitoa
Kwahiyo sisi waafrica hatuna hizo akili,kuna kitu kilichojificha nyuma ya akili zaoWao wanna upeo mkubwa hivyo ni observational. Kwanini kitu kimetokea