Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja ,
Ngazi ya mshahara moja,
Mwenzako anapata mshahara leo ,
Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo..

Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja,

Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa 24,

Leo hii mshahara wengine wamepata toka Saa 2 asubuh,

Wengine tunasubiri awamu nyingine...

Hii tabia IFE!
 
Subiri tu mshahara utaingia maana ndio mida hii.
Hapo utapata ya Christmas, Mwaka mpya na Ada ya January kama unaaomesha.

Kila lakheri
 
Back
Top Bottom