Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

Kiasi cha TZS 146708.38 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 09902 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako

Tunako Elekea Uko Mbele Hii Kazi Ni Kuiacha Tu..
Hahaha,unaishije mkuu na hako ka hela,hapo una mkopo Nmb na CRDB.
 
Kiasi cha TZS 146708.38 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 09902 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako

Tunako Elekea Uko Mbele Hii Kazi Ni Kuiacha Tu..

Hauko peke yako mkuu unaepokea pesa kidogo.! Tujipe moyo labda mambo yatabadilika siku moja huko mbele.!
 
Hahaha,unaishije mkuu na hako ka hela,hapo una mkopo Nmb na CRDB.
NMB,CRDB na FINCA..Na Uwezi amini Nakula Vizuri,Nalala Pazuri,Watoto wanasoma Shule Nzuri,nahudumia Wazazi Na Wana Ukoo Baadhi..Maisha Sio Mshahara Wako Wa Mwezi Tu Kijana.
 
Kiasi cha TZS 233992.24 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 02573 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako!
Hii ni for real, ama? Huu mshahara ni kwa mwezi mzima, ama kwa sababu kuna makato mengi including makato ya mkopo? Ngazi gani hii ya mshahara?
 
Kiasi cha TZS 2422000.13 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 02822 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako
 
Wakati wife kapata mshahara toka asubuhi wewe ulikuwa wapi na umejuaje?
Yaani una control hadi mshahara wake!!! Kweli una bamiza vya kutosha mbunye yake!!
Yaani yeye yupo kazini lakini wewe umejua kuwa mshahara wa wife wako umeingia akununulie shati la krismas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila ww jamaa ww Asante
 
NMB,CRDB na FINCA..Na Uwezi amini Nakula Vizuri,Nalala Pazuri,Watoto wanasoma Shule Nzuri,nahudumia Wazazi Na Wana Ukoo Baadhi..Maisha Sio Mshahara Wako Wa Mwezi Tu Kijana.
Inawezekanaje ukakopa sehem 3 mkuu au salary yako ni laki8
 
Ndugu zangu, mimi ni mtumishi wa umma, kwasasa mshahara wangu unaingia kupitia benki ya NMB. Hivi inawezekana kubadilisha mshahara ukawa unaingia NBC au CRDB badala ya NMB?

Kwa anaejua aniambie manake kuna upumbavu NMB wananifanyia kwenye mshahara wangu.
 
Ndiyo inawezekana chakufanya ongea na muhasibu hapo kazini kwenu
 
Naona watu mnatamba na salary tu sisi misheni town mwisho wa mwezi ni kila siku jioni unajua umepata au umetoka kapa.
Umenikumbusha sana mkuuu,yaan hata ukitia 5000 mfukoni ikifika jioni lazima uitoe upige hesabu
 
Back
Top Bottom