Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

dah mim pesa ya mshahara ishaisha mapema saivi nambana na kona nilizozizoea labda ya kwako ishaingizwa rudi ukachukue pesa
 
Hivi serikali haina mpango wa kutulipa mishahara akina jobless [emoji848][emoji848][emoji848].
Wanamua wananchi wao tunaishi vipi?
 
Mkuu vumilia januari inakuagandefu

 
Ni kweli watu wa NMB toka asubuhi mzigo ulisoma ila sisi wa NBC mzigo umeingia jioni hii kwenye kumi na mbili na nusu hivi
 
Kuwa mvumilivu utapata hta mm ndo naona notification sa hizi.
 
Mbona mshahara ulitoka jAna saa nane hv mkuu
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Asee kweli kimaisha hatufanani wengine kwa mwezi wanakunja 50k, unafikiri kuacha hyo kazi mwingine anaitamani hyo kazi 🙄
 
inabidi kuchunguza kabla ya kuandika..... kwa sehemu nyingi CRDB siku zote wametangulia kupewa chao then NMB...

Kama CRDB wangepewa asubuhi sa nne basi NMB watapata kuanzi sa moja usiku na kama CRDB wangepewa jioni nasi NMB ni kesho yake.... ( sio kote)

hii ilikuepo tangu enzi sa Jabali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…