A aker2011 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2015 Posts 969 Reaction score 1,521 Dec 23, 2021 #61 Mbona toka tarehe 21 tayari mkuu?
G Godwishes JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 640 Reaction score 167 Dec 23, 2021 #62 Zamani mishahara ilikuwa Siri Kubwa sana...walikuwa wanakatazwa kusema hadharani au technolojia imebadilika sio siri tena?....salary ikiingia napata stress ya ghafla,sometimes usingizi unakosa.
Zamani mishahara ilikuwa Siri Kubwa sana...walikuwa wanakatazwa kusema hadharani au technolojia imebadilika sio siri tena?....salary ikiingia napata stress ya ghafla,sometimes usingizi unakosa.
KPClassic Senior Member Joined Aug 12, 2012 Posts 103 Reaction score 27 Dec 23, 2021 #63 hapakazit said: Walisema nwezi huu wanalipa na malimbikizo vipi yamewekwa Click to expand... Ndio wamelipa mkuu, xmas yangu ni njema sana, assume malimbikizo ya mwaka mzima,uyu mama kajua kunifurahisha
hapakazit said: Walisema nwezi huu wanalipa na malimbikizo vipi yamewekwa Click to expand... Ndio wamelipa mkuu, xmas yangu ni njema sana, assume malimbikizo ya mwaka mzima,uyu mama kajua kunifurahisha
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Dec 23, 2021 #64 muvangulumemile said: Kigogo? basi Kuna watu mnapokea mishahara midogo Sana aisee, hiyo hela anapokea kibarua tu baada ya makato kwenye ujenzi wa bwawa la umeme la rufiji Click to expand... Sasa huyo ni kibarua hana bama wala hakopesheki na hana penseni ,hiyo sio kazi.
muvangulumemile said: Kigogo? basi Kuna watu mnapokea mishahara midogo Sana aisee, hiyo hela anapokea kibarua tu baada ya makato kwenye ujenzi wa bwawa la umeme la rufiji Click to expand... Sasa huyo ni kibarua hana bama wala hakopesheki na hana penseni ,hiyo sio kazi.