Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.
Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?
Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?
Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu