Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili nyingine sijui zinawaza nini? Mtu anaekusaidia ndo umuone adui!! Vip FBI wanapotoa tahadhari kwa balozi mbalimbali za Marekani wao ndio wahalifu?Nafikiri likitokea lolote lenye uhusiano na ukisemacho unaweza ukawa mtu wa kwanza kutoa maelezo.
Najaribu kuwaza tu🤔
Nimeshangaa sana watu kuja na majibu mepesi kiasi hiki,hawaoni madhara yaliyotokea jumapili. Ninaamini hata Ijumaa ungekuja kushauri watu wasiwe wengi ili kuepusha maafa,ungeonekana hutaki watu wakaage kwa akili zao.Jf ya siku hizi hakuna great thinkers
Mtoa maada Yuko sahihi kuwaza hivyo lakini watu hawajamwelewa
[emoji2][emoji2][emoji2]nchi ngumu sana hiiDuh..
Jamani tunafikiri mbali had tutakufuru
Hayo ni mahaba mkuu, wacha wananchi wamsimdikize kipenzi waoNimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.
Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?
Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?
Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
Wameamua wenyewe,kwani walivutwa mashati kwenda taifa..?Hata wakipa madhara sawa!? Si ndio
Kila mtu siku hizi anajidai kuwa afisa mshauri wa serikali kuuNimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.
Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?
Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?
Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
ila wafuasi was lissu mnawivu na marehemu 🚶🚶🚶Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.
Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?
Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?
Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
Pole ndugu yangu,ni njia gani rahisi unafikiri? Kurusha bila movement yoyote au kutega kisiri kwenye harakati kama hizo?. TZ bado sana kwa akili hizi,kwa hiyo nipinge ili nifaidike nini?We unafikiri majan yakikatazwa ndo hawez kutokea mtu wa kurusha bomb? tatzo lako umekaa kupingapinga tu kila ktu acha watu waonyeshe wameguswa kwa njia wanazo amini ni sahihi ambazo azivunji sheria
hili wazo lako lingekua na tija kama ingekuwa tupo Somalia,lkn kwakuwa tunaishi TZ halina maana yeyote kwamaana ya historia ya nchi kiujumla.Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.