Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

kutupa kanga barabarani mikoa mingine imejifunza walipowaona wakinamama dar wakitupa nguo
 
Kweli mkuu tusiishi kwa mazoea nadhani huko ngazi za juu za ulinzi na usalama wanalijua sana hili ila ndo wa kwanza kulipuuza.
 
Nafikiri likitokea lolote lenye uhusiano na ukisemacho unaweza ukawa mtu wa kwanza kutoa maelezo.

Najaribu kuwaza tu🤔
Akili nyingine sijui zinawaza nini? Mtu anaekusaidia ndo umuone adui!! Vip FBI wanapotoa tahadhari kwa balozi mbalimbali za Marekani wao ndio wahalifu?

Shida ni kiwa unaona kama sitak watu waende kwenye msafara wakati wanaweza kuwenda bila kurusha vitu hivyo,kwa.

Kama mfu kafa walio kwenye msafara sio muhimu kama aliekufa?
 
Jf ya siku hizi hakuna great thinkers
Mtoa maada Yuko sahihi kuwaza hivyo lakini watu hawajamwelewa
Nimeshangaa sana watu kuja na majibu mepesi kiasi hiki,hawaoni madhara yaliyotokea jumapili. Ninaamini hata Ijumaa ungekuja kushauri watu wasiwe wengi ili kuepusha maafa,ungeonekana hutaki watu wakaage kwa akili zao.
 
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.

Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?

Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?

Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
Hayo ni mahaba mkuu, wacha wananchi wamsimdikize kipenzi wao
 
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.

Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?

Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?

Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
Kila mtu siku hizi anajidai kuwa afisa mshauri wa serikali kuu
 
We unafikiri majan yakikatazwa ndo hawez kutokea mtu wa kurusha bomb? tatzo lako umekaa kupingapinga tu kila ktu acha watu waonyeshe wameguswa kwa njia wanazo amini ni sahihi ambazo azivunji sheria
 
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.

Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?

Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?

Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
ila wafuasi was lissu mnawivu na marehemu 🚶🚶🚶
 
Hiyo chamtoto. kule mwanza wahuni walikuwa wanavuka barabara msafara ukikaribia. Kuna mjinga mmoja humu akasema eti wana huzuni
 
Usalama wa taifa uko pale kuliko unavyodhani kama wote yaani...wewe katest mitambo wakuonyoshe shughuli
..kwa upande mwingine walipue maiti ya kipenzi chetu ili nn?
 
Wabongo bhana mnawaza vitu vya ajabu kabisa majani kutupa bararani au nguo ni ishara ya kumzika umpendae ulitaka wafanyeje baadae utasema hao wanaolia waangaliwe kwa jicho la pili..
 
We unafikiri majan yakikatazwa ndo hawez kutokea mtu wa kurusha bomb? tatzo lako umekaa kupingapinga tu kila ktu acha watu waonyeshe wameguswa kwa njia wanazo amini ni sahihi ambazo azivunji sheria
Pole ndugu yangu,ni njia gani rahisi unafikiri? Kurusha bila movement yoyote au kutega kisiri kwenye harakati kama hizo?. TZ bado sana kwa akili hizi,kwa hiyo nipinge ili nifaidike nini?
 
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.

Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?

Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?

Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
hili wazo lako lingekua na tija kama ingekuwa tupo Somalia,lkn kwakuwa tunaishi TZ halina maana yeyote kwamaana ya historia ya nchi kiujumla.
 
Back
Top Bottom