Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.

Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?

Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?

Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
Kumbe inakuuma eeeee,
Kumbe inakukeraa..
 
Haya mambo ya kutandika majani na khanga barabarani kwenye msafara wa kusafirisha mwili wa marehemu nilianza kuonea kwa Reginald Meng
 
Nimeona toka juzi watu wakitupa majani na kanga kwenye njia ambazo msafara wa msiba unapita, vyombo vya usalama wanaona kama ni mapenzi kwa Hayati.

Ni rahisi kuamini hivyo lakini tujiulize ingekuwa Somalia, Afriganistan au nchi zenye migogoro kisiasa na kidini unafikiri askari wangeruhusu ujinga huo?

Watasema watu Tanzania hatuna mambo hayo, hivi kuna ukaguzi gani unefanyika kwenye hayo majana na hizo kanga? Hatuna mabom labda vip kama kuna vitu vyenye ncha kali?

Tusiishi kwa mazoea, mazoea yana madhara sana. Wapo watakaodharau lakini ipo siku watajifunza kupitia uzi huu
Bongo siyo Somaria🤫!
 
Akili nyingine sijui zinawaza nini? Mtu anaekusaidia ndo umuone adui!! Vip FBI wanapotoa tahadhari kwa balozi mbalimbali za Marekani wao ndio wahalifu?

Shida ni kiwa unaona kama sitak watu waende kwenye msafara wakati wanaweza kuwenda bila kurusha vitu hivyo,kwa.

Kama mfu kafa walio kwenye msafara sio muhimu kama aliekufa?

Mtu mwenye nia mbaya hata umkimzuia kurusha majani ama kutandika khanga, kama kweli Ana dhamira na jambo lake bado atatenda tu!

Wasiwasi wako uko sahihi maana wale waliosimama ndani ya gari lililobeba mwili wa marehemu ni viongozi wa ngazi za juu za jeshi! Ni pigo kubwa ikitokea! Muumba aepushe!

Imani yangu sweeping ilikua endelevu ever since day one.
 
Ni

Wachache sana mliona hilo
 
Naungana na mleta mada, asubuhi nilikua nawaza hili jambo nimeona watu wakiweka majani barabaranj hii haina afya kiusalama kwan watu wenye nia mbaya wanaweza kuweka vilipuzi sio kwaajili ya kumuua marehemu au msafara wake ila ili kuutia doa msiba wa mpendwa wetu. Who knows?
 
Watu hawaoni hilo wao wanao mdhurika ni marehemu tu
 
Back
Top Bottom