Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

Ni uchafuzi wa mazingira
 
Kuna zile sikujui zetu makanisani huwe tunakwenda na majani ya Mitende.. na hatujawahi kuwaza kulipuana..

Sioni hatari yake hata kidogo... Kwenye nchi yenye mianya maelfu wameacha kuitumia yoote waje watumie majani na kanga!?

Na ili tuyahakiki na kuyafanyia ukaguzi haya matawi.. tufanye kwa utaratibu gani!? Tukague miti!? Au tungojee wakate kwanza matawi ndio tuyakague!?

Watanzania wamekwisha ongozwa mioyoni na akilini... Hiyo inatosha.. nadhani katika maelfu walioko pale... Unaweza ukawakosa hata wawili wanaofikiria kulipua majani. Q
 
Umeshakereka hata kwa hilo...

Myfoot
 
Subiri tumalize kuombeleza mkuu. Tanzania hatuna chuki za namna hiyo
 
jeshi letu liwe makini wasije wakamdhuru marehemu
 
Kwani kuna mtu anataka kumuua marehemu mara ya pili??
Marehemu amekwisha kufa, hakuna mtu anayetaka kutupa bomu barabarani.
 
Duu unawaza mbali kweli jamani, majani yenyewe yana uwingi gani, hao raia wanaojililia ukawapige bomu si kujisafutia dhambi isiyo na faida
Kwa kweli umeongea kwa uchungu sana dah
 
Watanzania wamekwisha ongozwa mioyoni na akilini... Hiyo inatosha
Hii point ya muhimu sana mkuu na ninakuunga mkono. Adui wa kwanza wa mwanadamu ni akili yake yeye mwenyewe ndio maana niliomba serikali kupitia humu JF kupiga marufuku wimbo wa bongo bahati mbaya.

Kama serikali inaweza kucheza vema na mindsets za wananchi wake, hakika hiyo ndio "first line of defence"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…