Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

Kumbe inakuuma eeeee,
Kumbe inakukeraa..
 
Haya mambo ya kutandika majani na khanga barabarani kwenye msafara wa kusafirisha mwili wa marehemu nilianza kuonea kwa Reginald Meng
 
Bongo siyo Somaria🤫!
 

Mtu mwenye nia mbaya hata umkimzuia kurusha majani ama kutandika khanga, kama kweli Ana dhamira na jambo lake bado atatenda tu!

Wasiwasi wako uko sahihi maana wale waliosimama ndani ya gari lililobeba mwili wa marehemu ni viongozi wa ngazi za juu za jeshi! Ni pigo kubwa ikitokea! Muumba aepushe!

Imani yangu sweeping ilikua endelevu ever since day one.
 
Ni
Wachache sana mliona hilo
 
Naungana na mleta mada, asubuhi nilikua nawaza hili jambo nimeona watu wakiweka majani barabaranj hii haina afya kiusalama kwan watu wenye nia mbaya wanaweza kuweka vilipuzi sio kwaajili ya kumuua marehemu au msafara wake ila ili kuutia doa msiba wa mpendwa wetu. Who knows?
 
Watu hawaoni hilo wao wanao mdhurika ni marehemu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…