Awamu ya sita
Member
- Apr 1, 2021
- 21
- 98
Hamna hata Lodge uko? Walimu nao waache ubahiliHuu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.
Kituko kingine unakuta hata walimu wakuu hawajali chochote kuhusu usalama wa wasimamizi wao.
Mfano nimepita shule x katika halmashauri ya Chamwino nikakuta mwl wa kike analala peke yake darasani huku ofisini wanalala askari mgambo wawili. Katika mazingira haya je usalama wa huyu mwl wa kike ukoje??
Funzo kubwa hapa ni kwamba; Serikali pamoja na kufanya kazi nzuri kuhusu usalama wa mitihani, tunaomba itoe maelekezo kuhusu usalama pia wa wasimamizi wa mitihani hiyo. Leo tunazungumzia Chamwino lakini pengine jambo hili lipo mahali kwingine na sio tu kwa wanawake pekee.
Mkuu kuna mazingira hakuna lodge lakini mwl Mkuu anashindwaje hata kumweka mgeni nyumbani kwake?? Enzi hizo tunasoma, tulikuwa tunashuhudia wasimamizi wakotokea kwenye nyumba za walimu wao wenyejiHamna hata Lodge uko? Walimu nao waache ubahili
Mwl mwenyewe mmoja tu anashindwa kumpeleka nyumbani kwake jaman,walimu wakuu waache ubahili aiseeHuu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.
Kituko kingine unakuta hata walimu wakuu hawajali chochote kuhusu usalama wa wasimamizi wao.
Mfano nimepita shule x katika halmashauri ya Chamwino nikakuta mwl wa kike analala peke yake darasani huku ofisini wanalala askari mgambo wawili. Katika mazingira haya je usalama wa huyu mwl wa kike ukoje??
Funzo kubwa hapa ni kwamba; Serikali pamoja na kufanya kazi nzuri kuhusu usalama wa mitihani, tunaomba itoe maelekezo kuhusu usalama pia wa wasimamizi wa mitihani hiyo. Leo tunazungumzia Chamwino lakini pengine jambo hili lipo mahali kwingine na sio tu kwa wanawake pekee.
Ukweli ni wenyewe wanataka ili kusavu poshoHuwa wanalipwa sema kutaka kubana matumizi tu
Mkuu, kwa Tanzania hii kuna vijiji neno Lodge ni msamiati. Hivyo, hata kama Mwalimu amelipwa posho ya kujikimu hataweza kuitumia fedha aliyolipwa kupata huduma ya malazi kwa kuwa kuna vijiji hakuna hiyo huduma ya Lodge. Muhimu Walimu Wakuu wafanye maandalizi kwa kuwalaza Wasimamizi hao wa Mitihani katika sehemu zenye staha. Mbona zamani miaka ile ya 1980's kulikuwa na hali mbaya ya maisha kuliko kipindi hiki lakini Wasimamizi Walilala sehemu zenye staha?Hao walimu hawalipi allowances ukiwemo malazi? Sheria inasemaje mtu akilala nje ya kwake kama ni mtumishi? Kama wanalipwa vipi washindwe kwenda kulala hotelini au lodge?
Dawa ni kuacha kwenda kusimamia ,maana hushikiwi bunduki bali tamaa zako mwalimu mwenzangu.Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.