Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

Eeenh ubahiri mwingine ni ujinga kwanini ukulale kwa M/mkuu Kalale guest huko.
 
Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.

Kituko kingine unakuta hata walimu wakuu hawajali chochote kuhusu usalama wa wasimamizi wao.

Mfano nimepita shule x katika halmashauri ya Chamwino nikakuta mwl wa kike analala peke yake darasani huku ofisini wanalala askari mgambo wawili. Katika mazingira haya je usalama wa huyu mwl wa kike ukoje??

Funzo kubwa hapa ni kwamba; Serikali pamoja na kufanya kazi nzuri kuhusu usalama wa mitihani, tunaomba itoe maelekezo kuhusu usalama pia wa wasimamizi wa mitihani hiyo. Leo tunazungumzia Chamwino lakini pengine jambo hili lipo mahali kwingine na sio tu kwa wanawake pekee.
chamwino ya morogoro au ile ya dodoma iliyopo karibu na Ikulu ya Rais?
 
Hao walimu hawalipi allowances ukiwemo malazi? Sheria inasemaje mtu akilala nje ya kwake kama ni mtumishi? Kama wanalipwa vipi washindwe kwenda kulala hotelini au lodge?
Vijiji vingi sana havina nyumba za wageni (guesthouse/lodge).
 
Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.

Kituko kingine unakuta hata walimu wakuu hawajali chochote kuhusu usalama wa wasimamizi wao.

Mfano nimepita shule x katika halmashauri ya Chamwino nikakuta mwl wa kike analala peke yake darasani huku ofisini wanalala askari mgambo wawili. Katika mazingira haya je usalama wa huyu mwl wa kike ukoje??

Funzo kubwa hapa ni kwamba; Serikali pamoja na kufanya kazi nzuri kuhusu usalama wa mitihani, tunaomba itoe maelekezo kuhusu usalama pia wa wasimamizi wa mitihani hiyo. Leo tunazungumzia Chamwino lakini pengine jambo hili lipo mahali kwingine na sio tu kwa wanawake pekee.
Ulitegemea kule kijijini walale wapi, nyumba za watu? Acheni kulalamikia kila kitu, mnaujua uchumi wa nchi yetu na mazingira yetu ya kijijini
 
Mi kikubwa wanipe posho yangu, nalalaje hilo haliwahusu.
 
Vijijini walimu hawakai karibu na shule wanakuja na kuondoka na walimu wanaobaki shuleni ni wale mabachela wagumu chumba kimoja na hakuna vyoo. Wageni lazma waandaliwe pa kulala madarasani. Ualimu ni wito sio kazi
 
Hao walimu hawalipi allowances ukiwemo malazi? Sheria inasemaje mtu akilala nje ya kwake kama ni mtumishi? Kama wanalipwa vipi washindwe kwenda kulala hotelini au lodge?
Wanalipwa posho ya TZS 20,000 kwa siku.
 
Mwalimu anapaswa kuheshimika zaidi kwenye jamii.

Wapatiwe hata magari ya halmashauri kuwapeleka lodge za hadhi wakiwa kwenye kazi maalum.
 
Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.

Kituko kingine unakuta hata walimu wakuu hawajali chochote kuhusu usalama wa wasimamizi wao.

Mfano nimepita shule x katika halmashauri ya Chamwino nikakuta mwl wa kike analala peke yake darasani huku ofisini wanalala askari mgambo wawili. Katika mazingira haya je usalama wa huyu mwl wa kike ukoje??

Funzo kubwa hapa ni kwamba; Serikali pamoja na kufanya kazi nzuri kuhusu usalama wa mitihani, tunaomba itoe maelekezo kuhusu usalama pia wa wasimamizi wa mitihani hiyo. Leo tunazungumzia Chamwino lakini pengine jambo hili lipo mahali kwingine na sio tu kwa wanawake pekee.
ualimu ni wito gentleman,
ina hitaji ustahimilivu na subra ya kiwango cha juu sana kufanya wajibu huo muhimu kwa taifa.

in fact,
kwasababu ni kitu cha siku moja au mbili, sidhani kama kuna haja ya kulaumu yeyote kwasababu wajibu huo huambatana na posho za kujikimu kwa chakula na malazi 🐒
 
Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.

Kituko kingine unakuta hata walimu wakuu hawajali chochote kuhusu usalama wa wasimamizi wao.

Mfano nimepita shule x katika halmashauri ya Chamwino nikakuta mwl wa kike analala peke yake darasani huku ofisini wanalala askari mgambo wawili. Katika mazingira haya je usalama wa huyu mwl wa kike ukoje??

Funzo kubwa hapa ni kwamba; Serikali pamoja na kufanya kazi nzuri kuhusu usalama wa mitihani, tunaomba itoe maelekezo kuhusu usalama pia wa wasimamizi wa mitihani hiyo. Leo tunazungumzia Chamwino lakini pengine jambo hili lipo mahali kwingine na sio tu kwa wanawake pekee.
Wewe mwalimu?
 
Mkuu kuna mazingira hakuna lodge lakini mwl Mkuu anashindwaje hata kumweka mgeni nyumbani kwake?? Enzi hizo tunasoma, tulikuwa tunashuhudia wasimamizi wakotokea kwenye nyumba za walimu wao wenyeji
Dunia ya sasa hairuhusu hivyo,yaani umweke TU mtu ndani mwako hujui background yake au unafikia kwa MTU eti kiss mtumishi mwenzako
 
Kupambaania maslahi ya Walimu ni ujinga. Hawa ndio mtaji mkubwa wa CCM kwenye uchafuzi mkuu.
 
Back
Top Bottom