johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tii sheria bila shuruti!Yani wewe ni mpumbavu sana yani polisi akuburuze tu kwa kuwa ni polisi na sheria unaijua, hivi unawafahamu polisi wa nchi hii kweli polisi wa kutumika kisiasa hawa ambao hawana weledi,
Lisu wapeleke mchaka mchaka.
Nani kasema " kila kitu "?!!Ni upumbavu kufikiri kwamba kila kitu unachoambiwa na polisi lazima utii.
Wewe nawe ni wa kupuuzwa tu, hao Polisi wako nao ni binadamu hivyo wanapofanya makosa wachekewe tu kwa vile wamevaa magwanda na kushika bunduki zilizonunuliwa kwa kodi zetu kutulinda na siyo kutunyanyasa. Hivi unamkumbuka Abdalah Zombe na Askari wake walivyowafanyia wale wafanyabiashara wa madini toka Ulanga au ulikuwa hujazaliwa?Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii sheria bila shuruti kwa sababu mabishano kati ya polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.
Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.
Kama taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!
Maendeleo hayana vyama.
Kinachoonekana hujui tofauti ya kubishana na kupishana kauli. Kauli za polisi hupishana sana Sheria ambazo ndio hitajiwa kuzitumia ktk utendaji wa kazi zao za kila siku. Na hapo ndipo anaejua Sheria hupishana nao. Pia elewa mfumo wa uajiri polisi haufuati taaluma, na mafunzo ya miezi 9 wanayopitia, hawaivi.Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii sheria bila shuruti kwa sababu mabishano kati ya polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.
Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.
Kama taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!
Maendeleo hayana vyama.
Polis hawa wanaotumika na ccm kubaki madarakani.kile kitendo cha polis kuvamia kambi za wagombea wa upinzani na kuwabambikizia kesi kinatia aibu sana jeshi La polis