SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
SwadaktaaTatizo ni hao Polisi kubishana na wanasiasa, sio kazi ya polisi kubishana na wanasiasa. Huo ni utovu wa nidhamu wa Polisi. Polisi kazi yao ni kulinda usalama wa wanasiasa na kupokea amri (kufokewa) halali kutoka kwa wanasiasa.
Duniani kote polisi ni kama mbw.! anayesubiri kupokea amri.