Hii tabia ya Wanasiasa kujibishana na polisi isiachwe iote mizizi. Alianza Malima, Kigwangalla, Nape, Lissu na sasa Mbowe

Hii tabia ya Wanasiasa kujibishana na polisi isiachwe iote mizizi. Alianza Malima, Kigwangalla, Nape, Lissu na sasa Mbowe

Tatizo ni hao Polisi kubishana na wanasiasa, sio kazi ya polisi kubishana na wanasiasa. Huo ni utovu wa nidhamu wa Polisi. Polisi kazi yao ni kulinda usalama wa wanasiasa na kupokea amri (kufokewa) halali kutoka kwa wanasiasa.
Duniani kote polisi ni kama mbw.! anayesubiri kupokea amri.
Swadaktaa
 
Hili ni tatizo la polisi wetu,na kwa kweli hawajitambui.
Inaonekana siku zijazo wakiendelea hivi wanaweza kujaza fomu,na kwa kweli kweli walishafanya...kujaza fomu na kuomba kugombea vyeo vya kisiasa.
Kina Mahita IGP wa zamani,Tibaigana na wengi wengineo waliwahi kugombea.
Bado kuna wengine kutoka idarani tunawaomba wakifanya hizi mambo...huko mbele ya safari tutajuta kuruhusu ujinga huu ushamiri.
Wewe ni askari,fanya kazi yako ya upolisi kwa mujibu wa sheria na taratibu za jeshi tena usikubali kupokea maagizo ya kisiasa kutoka kwa wanasiasa.
 
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii sheria bila shuruti kwa sababu mabishano kati ya polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.

Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.

Kama taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!

Maendeleo hayana vyama.
Yaani wewe kila utakacho ambiwa na polisi hata kama hujavunja sheria unakubali duu!
 
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii sheria bila shuruti kwa sababu mabishano kati ya polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.

Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.

Kama taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!

Maendeleo hayana vyama.
Ila tabia ya Polisi kuwaonea wananchi iachwe iote mizizi? Ukiona hivyo ujue kuna mahali polisi wanakosea. Matamshi ya mpuuzi wa Hai umeyasikia?
 
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii sheria bila shuruti kwa sababu mabishano kati ya polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.

Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.

Kama taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!

Maendeleo hayana vyama.
johnthebaptist akili umeziweka wapi?
 
Kwani katiba inakataza kujibishana na polisi?
 
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii sheria bila shuruti kwa sababu mabishano kati ya polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.

Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.

Kama taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!

Maendeleo hayana vyama.
Polisi watambue mipaka yao ya kazi
 
Policcm hawa hawa wanao vizia watu wafanye makosa badala ya kuwaelimisha?
 
Sijaelewa ulichoandika, naona unafundisha watu ujinga ( wakubali kuburuzwa na polisi bila kufuata sjeria) na uoga.
 
Wee mpuuzi acha unafiki! Magufuli siyo mwanasiasa! ?? Nenda kashauri Mbogamboga waondoe kitengo cha policcm katika mifumo yao! Umeona yule mbwa wenu wa kule hai? alivyojifanya kupigia debe mbogamboga!!/ 28oct tutahemishiana tu!
 
Hivi wapumbavu kama huyu mleta mada nani alimfundisha kuingia jamiiforums? 🤔
 
Tatizo mapolisi wengi elimu yao duni.Ndio maana hawajui taratibu zao za kazi hawazijui
 
polsi wa aina hii wanadhalilisha hicho chombo kuwa cha low profile kabisa, welend na heshima chini kabisa, huyo wa hai kichwani hewa kabisa
 
Ukizoe kupiga mbwa wako bila sababu, kuna siku atakugeuzia kibano, atakubwatukia! Utendaji wa polisi wakati mwingine ndio unaojenga mazingira ya watu kupuuza amri zao na kubishana nao!
Imagine mtu umefuata sheria na hatua zote tena ulizoelekezwa na polis haohao , kupata kibali cha mkutano, Ghafla bin vuuu! Ukiwa ulishafanya maandalizi na kuingia gharama zote za lazima, then mtu anajitokeza na kutoa amri nyingine tena yenye mwelekeo wa kisiasa! Hapa kutii amri yake ni ngumu sana kwa binadamu wa kawaida! Hivyo kabla ya kuwamulika wanasiasa waliopuuza amri za polis, inabid kwanza tumuulike utendaji wa jeshi hilo!
 
Wewe kweli boya unasapoti utaahira kama huu
 
Kule Shinyanga mkuu wa kituo katoka na bango la Magufuli huko akaenda nalo hadi nyumbani kwa Salome Makamba kisha akalichana halafu akamkamata Salome Makamba kwa kosa la kuchana bango la Magufuli. Ila kwa kuwa amefanya tukio hilo majira ya saa nne za usiku na wala hakuona watu waliokuwa wanamrekodi basi naamini alikuwa amebugia gongo. Sasa hao ndiyo polisi unaotaka waheshimiwe?
Huyo hapo
 
Back
Top Bottom