Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Bado masista duu wetu wa bongo Waige na hii,sijajua watafanya nini ili waipatie maana walikopi style ya kutembea na midoli waliipatia,wakaja kupiga picha ya selfie huku domo wanalivuta kama wanapiga mruzi wakapatia,haya hii ya mimba sijui!! Maana kwao hazikai kwa kuchoropoa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Duuu..!. Ukitoka bila Ujanani Utakuja piga penati Uzeeni
 

huyu wa huku chini katisha
 
Wengi wao ni waswahili wa Dar,huwezi kuta mtoto wa Kichagaa anafanya ma ujinga kama hayo

Hivi Nyie mbona mnadharua Waswahili?
Hapa sijui umeadika Kwa Lugha ya kichagaaa?
Eti "Huwezi kuta mtoto wa kichagaa anafanya ma ujinga kama hayo " tembea uone
 
Wanawake wanatakiwa kukemeana wenyewe kwanza...kutokufanya hivyo inaonesha wanawake wote wanapendelea uchafu wa namna hii.
Akitokea mtu na kusema hii sio sawa basi kule instagram unaeza ukaekwa kwenye page za michambo ukasutwa mpaka mpaka ukatamani upotee kwenye mazingira ya utata kama Faru Joni
 
Sijui wanawezaje, make muda huo tumbo linavokuwa mmmh unajiogopa....hongera zao wanaoweza
 
Kushika mimba ni sunna siku hizi kutokana na mavyakula tunayokula, hewa tunayovuta ishakuwa polluted, magari tunayotumia AC zinazalisha gesi zinazosababisha cancer yaani kila kitu has got side effects na waatgirika wakubwa ni kina dada.
Ni kama njia ya kutambiana kwamba mwenzio "mama kijacho wewe je na kurukaruka kote mbona hatuoni matokeo?" hahaha just kidding kina dada ila kuna kaukweli hapo
 
Naona dunia inarudi tulikoanzia, kutembea uchi na baadaye tutaanza kuvaa magome ya miti na mbaya zaidi miti ni michache sijui kama itatutosha
 
Naona dunia inarudi tulikoanzia, kutembea uchi na baadaye tutaanza kuvaa magome ya miti na mbaya zaidi miti ni michache sijui kama itatutosha
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata majani tutavaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…