Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Kweli aisee ni changamoto sana...unakuta mzazi hawezi kumkanya mtoto wake hata kwa kosa ambalo linajulikana,, anamdekeza
yaani mkuu mostly ya wazazi wa digital malezi yao ni hovyo, kuanzia ujauzito n mdogo had mtoto anazaliwa yan shida
 
Kupania kupita kiasi..yaani na umagharibi nao umetulevya! ilaaniwe insta maana ndo kichohezi kikuu.
 
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Maisha ya ku copy na paste..umagharibi usioendana na context (ingawa wa haki za binadamu mtasema ni uhuru wao)..

Simply ni reflection ya highest level of stupidity !

[HASHTAG]#Mtazamo[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.



Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.

Mapendo,
TANMO.
ni ulimbukeni tu kuigaiga kila kitu waonekane class flani,tabia hii ya kupiga picha nusu uchi na mtumbo mkubwa wa mimba kaianzisha beyonce knowles haya mazombie ya huku bongo ni full kuiga,kumbuka miaka ya nyuma kidogo mimba zilionekana michosho sana ilikua nadra sana kukuta msanii wa bongo yupo kwenye 'spotlight' ana mtumbo mkubwa walikua wanatoa sana mimba.
 
mkuu wewe ni me au ke? kama ni me nakushauri usipende kabisa kutumia hayo maneno mawili katika post yako na la kwanza na la mwisho.
 
ha ha ha ha ha ha ah autakuta motto anakwambia mgeni kum.....yo... mama yake anacheka yaani huyu mtoto anasumbuaa kweli ....natamani hata nimfinye mdomo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…