Hahaha...kumbe na wewe yamekukuta aise?? Yani unaweza ukaaga mapemaaa.....ha ha ha ha ha ha ah autakuta motto anakwambia mgeni kum.....yo... mama yake anacheka yaani huyu mtoto anasumbuaa kweli ....natamani hata nimfinye mdomo...
wanazuia nini katika maendeleo yako wakionyesha mimba zao? avoid petty issue of no significance to your welfare!Kweli madame wanakera sana
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
mbona umeiga internet ni utamaduni wakoUtandawazi, kuiga tamaduni za nje... Zamani hayo mambo hayakushika kasi kama sasa.. Ulimbukeni ndio unawafanya hivyo...wanaona fahari na sifa
Kweli aisee..ni wakati wa nyie wanawake kubadilikani kaulimbukeni flani hivi hakuna hata kutafta mchawi dear! mchawi ni sisi wenyewe
Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.
Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.
Mapendo,
TANMO.
Mungu atuwezesheKweli aisee..ni wakati wa nyie wanawake kubadilika
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
tofautisha internet na maadili ya utu mkuu
kweli aisee..kila la heriMungu atuwezeshe
Aaamyn mkuukweli aisee..kila la heri
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Aaamyn mkuukweli aisee..kila la heri
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Wanajivunia kut***bwa!Kumeibuka wimbi la wadada wajawazito kupiga picha huku wameshikilia matumbo yao na kisha kuzitupia kwenye mitandao ya kijamii.
Huwa malengo yake hasa ni yapi?
Huenda nimepitwa na wakati, napaswa kuji-update.
Mapendo,
TANMO.