Hii tabia ya wanawake wa siku hizi kupenda uke wenza inasababishwa na nini?

Uzuri mkeo ndo muda wake huu wa kwenda kuonja ladha mpya kwa crush wake, wanaume walokuzidi kila kitu alokua anawakataa kwa kulinda heshima yako.
Kuna mtifuano mkali sana pamoja na ku admin makosa Kila muda anakumbushia

Tatizo lake anapenda kufwatilia simu sana sanaa
Ni kipaji Maalum yaani atasoma Kila kitu Mimi simu siweki password aisee namkataza wapii

It's my first time kuchepuka tena nilimuonea HURUMA kwa ajili ya watoto wetu wadogo nikasema ngoja ni date na huyu kumpumzisha wife

Sasa akafuma ma charting za hatare.. conversation za hatare mpaka kupigiana simu

Yule babe mpya akamwambia mwanaume hachungwi ivoo hata akiachana na Mimi ata PATA mwingine.. zungumza ma mumeo wakatukanana kinoma
 
Usinihadithie story yako ya upuuzi.
 
Uzuri mkeo ndo muda wake huu wa kwenda kuonja ladha mpya kwa crush wake, wanaume walokuzidi kila kitu alokua anawakataa kwa kulinda heshima yako.
Wanaume ni tamaa tu. Ila huyo mwanamke kama anafikiri best revenge ni kuwa jamvi la wageni, wahuni wataichapa sana na watamgeuza kila style na kumaliza fantasies zao ila hakuna atakayekuwa na commitment na mke wa mtu tena mwenye watoto.

The best revenge ni kuomba tu talaka kama ameshindwa kusamehe. Ajitulize atafute mume mwingine perfect ambaye hana tamaa ambaye yupo tayari kulea watoto wa mwanaume mwingine.
 
Daah,hii ni kujipa presha tu,mie ningemuita huyo demu pahala tuonane tuzungumze vizuri,
 
Sio wanawake wote wenye hizo tabia
 
Natembea na wanaume 10 nilioridhia, ninaowatamani, tumefanya nimeinjoy nimesikia raha.
Kivipi nakua jamvi la wageni?
 
Kama kawaida, uzinzi wamefanya wote lawama anapewa mwanamke🙆‍♂️🙆‍♂️
Suala la uzinzi baiolijia na jamii inamuhukumu zaidi mwanamke. Hata mkijifanya wabishi amuwezi kufanya mwanaume na mwanamke wahukumiwe sawa hapo.

Ni sawa tu na umasikini. Anaehukumiwa na jamii na dunia kwa ujumla ni mwanaume. Mwanamke masikini anaweza kusikilizwa, kuthaminiwa, kupendwa na kusaidiwa lakini sio mwanaume masikini. Ndio maana tunachofanya sisi ni kupiga kazi kuondokana na umsikini sio kulia lia kutaka na sisi tupewe privilege kama anazopata mwanamke masikini.

That's nature, it's not fair but you can't wrestle it
 
Mwanaume mwenye ndoa ambae ndio anapaswa kuwa makini maana ana kiapo cha kulinda, anazini tena peku na kutia mimba juu ila hilo halionekani kama ni tatizo imagine!!
Kwenye suala la sex wanawake mna changamoto na vijisababu sababu vingi sana. Especially mkishajiakikishia jimbo. Unajua kwa mwanamke sex sio starehe tu, pia ni method of controlling, negotiating and punishing. Hio ndio inapekea baadhi ya wanaume kufuata huduma nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…