mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Mlikutana kwa ajili ya starehe ya muda mfupi na sio kuoana.Mimba haitegeshwi. Ni matokeo ya uzinzi bila kutumia kinga. Own your mistakes.
Hutaki kuzaa naye ni simple tu, usizini kabisa.Mlikutana kwa ajili ya starehe ya muda mfupi na sio kuoana.
Kwa hiyo una wajibu wa kujilinda maana mwili unatembea nao wewe na unajijua kuhusu mabadiliko yake,siku za hatari n.k
Umejiuliza kama wanaweza wakawa wanaiga mfano wa aliye juu nchini?Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Hakuna kitu inaitwa limbwata kijana.Kinyume cha kupewa Limbwata ndio hiyo mfumo dume ambayo umeipinga mwanzoni.
Elewa Comment yangu mimi siye niliyehalalisha kuwa limbwata ipo ama haipo ila nimetumia reference ya mtazamo wa jamii kuhusu limbwata kuikosoa mantiki ya niliyemkosoa.Hakuna kitu inaitwa limbwata kijana.
Hakuna aliyeshikiwa bakora hapo kulazimishwa kwenda kuzini amejirahisisha mwenyewe kwa mme wa mtu.Hutaki kuzaa naye ni simple tu, usizini kabisa.
Sisi wanaume ni special kama maraika dada Angu🤣🤣🤣🤣🤣Yaani,nimeshangaa hapa,
Hiyo mimba bila mwanaume asingeipata.
Huwezi Jua huenda bodaboda alikuwa katenga fungu mpaka ampate zile toa toa mdada anaweza kujihakikishia kuwa NAPENDWA au HUDUMA IPO.Mbona wanazaa na Bodaboda?
Daaah,noma sana.Sisi wanaume ni special kama maraika dada Angu🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio maana tunatoa Bikra na kuwaacha MDA WA ujana wetu.
ILA tukitaka kuoa tunatafuta Bikra just imagine hapo🤔🤔🤔
Mmmh duuh roho ngumu sana hutaki watoto wako wa share baba???Bora mume wangu anisaliti nitamlipizia yataisha ila akizaa nje hiyo ni good bye.
Katika kitu nachukia ni watoto wangu kushare baba na watoto ambao sijawazaa