matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Wengi tunaona ni afadhali kulaumu na kujilaani kuliko kuchukua HATUA au kupotezea kuendelea na maswala mengine.Niliona wazungu wakiulizwaa ,bara gan maskin unalijuaa asilimiaa 99 walisemaa AFRICA...
Kwann Africa ,wakasema watu wake Bado hawajajitambua wao n kina nani na wanatakaa nn..
Na safari n ndefu mkuuu na cc ndio wakombozi cha ajabu wakombozi wenyewe tunaishia kulalamikaa tu..🤔Wengi tunaona ni afadhali kulaumu na kujilaani kuliko kuchukua HATUA au kupotezea kuendelea na maswala mengine.
Mimi binafsi Nimeamua, sitaki kulalamika au kulaumu kama Sina suluhisho badala ya kuongea hovyo Bora nitafute jambo lingine la kufanya. Nimejikuta muda mwingi wa malalamikohasa wa kucheleweshwa bila sababu nikiutumia kusoma au kuandika nikigundua hakuna mwenye utayari wa kutatua KWA wakati huo.Na safari n ndefu mkuuu na cc ndio wakombozi cha ajabu wakombozi wenyewe tunaishia kulalamikaa tu..🤔
Ni huzuni
Mkuu Mimi sibishi. Nimeathilika na hizi Tabia.WaTz ni wazuri ku-observe na siyo kuchukua hatua, ndiyo sababu hata wewe umeuliza swali kisha ukaishia hewani. Tunaenjoy kuraise issue ila siyo kuifanyia kazi.
Waziri anaweza kusema certain percentage ya public servants haifanyi kazi. Lakini haonyeshi kama ana mpango wa kuifanya ifanye kazi na kwa namna gani.
Hii itaisha endapo tutaacha tabia za kijamaa, ujamaa uliwajengea uoga wazee wetu wakaturithisha. Ulitengeneza attitude ya mwenye nguvu mpishe, tukarithishwa. Ukawaaminisha wazee wetu kwamba kua mnyonge, fukara ni sifa. Hii tumerithishwa kiasi mpaka hua tunashindana tabu mwenzako akisema hajala tangu asubuhi wewe unamaliza na sijala tangu usiku
Watanzania wengi maneno mengi ila matendo ni zero.Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa.
Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k.
Matukio kama matatu yametokea kwenye chombo cha usafiri wa Umma tukiwa na wazungu, wachina, waarabu, na watu wa mataifa mengine ila sisi wabongo tunalawama na kujilaani sana. Tatizo kilikuwa ni kucheleweshwa zaidi ya masaa yasiyovumilika.
Wabongo tuliwaka sana. Ila sio KWA kutafuta suluhisho bali ni kuonyesha tu hisia zetu na kuonyesha jinsi tusivyoweza kujisimamia.
Nikamsogelea mchina mmoja nikamuuliza vipi nyie KWENU mambo kama haya huwa yapo. Akatabasamu tu alafu akanibadilishia stori. Nikawafuatilia wazungu wengine wao wanaulizia tu wanasema itakuwa saa ngapi? Wakipata jibu wanatabasamu na kuendelea KUSUBIRI .
Najiuliza ...
Hawa watu wa mataifa mengine wao huwa wamekatazwa kulaumu?
Au wao wanaogopa kuingilia ujinga wetu maana washajua sisi hatuthamini muda?
Najiuliza tu, hii Tabia ya kulaumu na kujilaani nchi na kujilaani badala ya kutafuta suluisho au kupotezea kama tumekubali kushindwa chanzo chake ni nini?
Hata hapa JF mada nyingi zinaishia hewani. Unaweza ukakuta uzi inahusu tatizo fulani ila uzi nzima haukuti suluhisho la hilo tatizo unakuta watu wanabishana tu.Mkuu Mimi sibishi. Nimeathilika na hizi Tabia.
Mtu anaweza kuibula lawama ghafla akawa anaongea huku anaforce watu wachangie kulaumu. Unaweza kushangaa MJADALA ukawa mpana wakina mama na baba wakatoa povu lote ila hitimisho la kutawanyikia utasikia hii nchi sijui nani katuroga.
Mimi hiyo mijadala siku hizi siongei KITU hata kama uje kuongelea usoni, sikuzingatii.
JF isipokuwa makini unaweza kujikuta ni mtu wa kulalamika Kila KITU. Maana wengine wamegeuza KUWA jukwaa la kulalamikia hata vitu vya chumbani mwake.Hata hapa JF mada nyingi zinaishia hewani. Unaweza ukakuta nyuzi inahusu tatizo fulani ila nyuzi nzima haukuti suluhisho la hilo tatizo unakuta watu wanabishana tu.
Tatizo ni kuwa watz wengi tunainvolve hisia kuliko akili.JF isipokuwa makini unaweza kujikuta ni mtu wa kulalamika Kila KITU. Maana wengine wamegeuza KUWA jukwaa la kulalamikia hata vitu vya chumbani mwake.
Mfano siku moja Mimi ilibidi nigugo kutafuta sababu ambayo haisemwi. Nikagundua chombo kikubwa cha usafiri kimetumika kisiasa na kusababisha uhaba, inabidi kimoja kifanye kazi kucompaseti hilo gap na kusababisha delay ya kama 4hrs. Cha ajabu walalamikaji wanalazimisha KUWA ii shu tunataka Hadi wanasiasa na viongozi wajue wakati root cause ni haohao wanataka wajue.Tatizo ni kuwa watz wengi tunainvolve hisia kuliko akili.
Kule Uingereza ikitokea ROUTE MASTER (basi la double decker jekundu) limezima njiani watu wanauliza litaondoka muda gani dereva anawaambia na abiria atakayeweza kuvumilia anavumilia asiyeweza anashuka.
Ila Bongo daladala ikizima watu wanaanza kulalamika bila kuuliza maswali muhimu kama basi litaendelea baada ya dakika ngapi au chanzo cha tatizo?
Mkuu,Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa.
Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k.
Matukio kama matatu yametokea kwenye chombo cha usafiri wa Umma tukiwa na wazungu, wachina, waarabu, na watu wa mataifa mengine ila sisi wabongo tunalawama na kujilaani sana. Tatizo lilikuwa ni kucheleweshwa zaidi ya masaa yasiyovumilika. ( Masaa 5 zaidi ya muda uliopangwa)
Wabongo tuliwaka sana. Ila sio KWA kutafuta suluhisho bali ni kuonyesha tu hisia zetu na kuonyesha jinsi tusivyoweza kujisimamia.
Nikamsogelea mchina mmoja nikamuuliza vipi nyie KWENU mambo kama haya huwa yapo. Akatabasamu tu alafu akanibadilishia stori. Nikawafuatilia wazungu wengine wao wanaulizia tu wanasema itakuwa saa ngapi? Wakipata jibu wanatabasamu na kuendelea KUSUBIRI .
Najiuliza ...
Hawa watu wa mataifa mengine wao huwa wamekatazwa kulaumu?
Au wao wanaogopa kuingilia ujinga wetu maana washajua sisi hatuthamini muda?
Najiuliza tu, hii Tabia ya kulaumu na kujilaani nchi na kujilaani badala ya kutafuta suluisho au kupotezea kama tumekubali kushindwa chanzo chake ni nini?
HahahaMkuu,
Unajua hata kujishangaa tunavyojishangaa ni kujishangaa bado?
Hao kabla ya kuja huku wanapewa semina kwamba wasiwe wajuaji kwenye nchi za watu. Kawaulize wakiwa huko huko Ulaya, China na Marekani kipindi imetokea dharura halafu utatupa mrejesho kama huwa hawalaumu! Huko si ndio kila mwananchi analipa kodi ili apatr huduma, wanaweza wasilaumu kweli!Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa.
Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k.
Matukio kama matatu yametokea kwenye chombo cha usafiri wa Umma tukiwa na wazungu, wachina, waarabu, na watu wa mataifa mengine ila sisi wabongo tunalawama na kujilaani sana. Tatizo lilikuwa ni kucheleweshwa zaidi ya masaa yasiyovumilika. ( Masaa 5 zaidi ya muda uliopangwa)
Wabongo tuliwaka sana. Ila sio KWA kutafuta suluhisho bali ni kuonyesha tu hisia zetu na kuonyesha jinsi tusivyoweza kujisimamia.
Nikamsogelea mchina mmoja nikamuuliza vipi nyie KWENU mambo kama haya huwa yapo. Akatabasamu tu alafu akanibadilishia stori. Nikawafuatilia wazungu wengine wao wanaulizia tu wanasema itakuwa saa ngapi? Wakipata jibu wanatabasamu na kuendelea KUSUBIRI .
Najiuliza ...
Hawa watu wa mataifa mengine wao huwa wamekatazwa kulaumu?
Au wao wanaogopa kuingilia ujinga wetu maana washajua sisi hatuthamini muda?
Najiuliza tu, hii Tabia ya kulaumu na kujilaani nchi na kujilaani badala ya kutafuta suluisho au kupotezea kama tumekubali kushindwa chanzo chake ni nini?
Kuna ukweli kidogo, jamaa nilikiwa namkomalie ili nipokee maoni yake kuhusu tunacholalamikia anakwepa, anatabasamu na kuleta story nyingine kama hanielewi.Hao kabla ya kuja huku wanapewa semina kwamba wasiwe wajuaji kwenye nchi za watu. Kawaulize wakiwa huko huko Ulaya, China na Marekani kipindi imetokea dharura halafu utatupa mrejesho kama huwa hawalaumu! Huko si ndio kila mwananchi analipa kodi ili apatr huduma, wanaweza wasilaumu kweli!
Hahaha 😂, baadaye arsenal ikifungwa nakuja kusoma hii comment yako ili nicheke, nipooze machungu.Hii tumerithishwa kiasi mpaka hua tunashindana tabu mwenzako akisema hajala tangu asubuhi wewe unamaliza na sijala tangu usiku
Kwani nani atakuchapa ukitupa hiyo story yote?Akati nikiwa O level shuleni kwetu walikuja walimu 3 kutoka bara la Ulaya, 2 German, 1 Australia,
Wale walimu walituonesha nini maana ya muda, maisha kwa ujumla.
Likitokea jambo au tatizo wanatafuta ufumbuzi, huku walimu wazawa wakibaki kulalama na kutulia tyuuh.
Kuna tatizo lilitokea pale shule, (siwezi eleza kwa usiri na usalama zaidi), bas uongozi wa Mkoa ulikuja shule, walimu wazawa wanafokewa km watoto wadogo, mbelee ya wanafunzi, badala ya wao wajitetee na kutolea ufafanuzi, wako kimyaa, baada ya wale viongozi wa mkoa kuondoka, wanaanza kulalama na kujishangaa, ndipo wale walimu wageni wakawa saidia kutatua lile tatizo, afu kwa wepesi kabisa, Lol
Nimewakumbuka na kuwa mic mno, wenzetu wako mbelee ya wakati.