cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ntafungua codes bureee, 😂😂😂😂Kwani nani atakuchapa ukitupa hiyo story yote?
Ntafungua codes bureee, 😂😂😂😂Kwani nani atakuchapa ukitupa hiyo story yote?
We usijali chochote, wakikubana tutakusaidia.Ntafungua codes bureee, 😂😂😂😂
Wengine Hadi vitu vya kawaida tu anaogopa kujieleza. Japo wabongo ukiwaambia ukweli wanaambiana jamaa mjuaji Wanaanza kukuvizia uingie kwenye KUMI na nane ZAO wakusulubu. Hasa KWA wanyonge kama walimu.Akati nikiwa O level shuleni kwetu walikuja walimu 3 kutoka bara la Ulaya, 2 German, 1 Australia,
Wale walimu walituonesha nini maana ya muda, maisha kwa ujumla.
Likitokea jambo au tatizo wanatafuta ufumbuzi, huku walimu wazawa wakibaki kulalama na kutulia tyuuh.
Kuna tatizo lilitokea pale shule, (siwezi eleza kwa usiri na usalama zaidi), bas uongozi wa Mkoa ulikuja shule, walimu wazawa wanafokewa km watoto wadogo, mbelee ya wanafunzi, badala ya wao wajitetee na kutolea ufafanuzi, wako kimyaa, baada ya wale viongozi wa mkoa kuondoka, wanaanza kulalama na kujishangaa, ndipo wale walimu wageni wakawa saidia kutatua lile tatizo, afu kwa wepesi kabisa, Lol
Nimewakumbuka na kuwa mic mno, wenzetu wako mbelee ya wakati.
Kabisa hata alivyofungua na uzi bado anaendeleza ule ule utanzaniaMkuu,
Unajua hata kujishangaa tunavyojishangaa ni kujishangaa bado?
Mzee naona hutaki kumuangusha mwalimu wako wa Yale mambo yetu (-God) hahahaKabisa hata alivyofungua na uzi bado anaendeleza ule ule utanzania
Tukubali hata wewe unalaumu jinsi watanzania tulivyoMzee naona hutaki kumuangusha mwalimu wako wa Yale mambo yetu (-God) hahaha
Nakubali mkuuTukubali hata wewe unalaumu jinsi watanzania tulivyo
Wachina wanajifunza English ya kupatia huduma ugenini mkuu.Usitake kutwa bia kuwa tuliongea kichina siku hiyo!!!!
Siyo wote acha mjumuisho rejareja. Mie sijishangai bali na kushangaa wewe unayedai watanzania wote tunajishangaa ili iweje na katika nini?Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa.
Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k.
Matukio kama matatu yametokea kwenye chombo cha usafiri wa Umma tukiwa na wazungu, wachina, waarabu, na watu wa mataifa mengine ila sisi wabongo tunalawama na kujilaani sana. Tatizo lilikuwa ni kucheleweshwa zaidi ya masaa yasiyovumilika. ( Masaa 5 zaidi ya muda uliopangwa)
Wabongo tuliwaka sana. Ila sio KWA kutafuta suluhisho bali ni kuonyesha tu hisia zetu na kuonyesha jinsi tusivyoweza kujisimamia.
Nikamsogelea mchina mmoja nikamuuliza vipi nyie KWENU mambo kama haya huwa yapo. Akatabasamu tu alafu akanibadilishia stori. Nikawafuatilia wazungu wengine wao wanaulizia tu wanasema itakuwa saa ngapi? Wakipata jibu wanatabasamu na kuendelea KUSUBIRI .
Najiuliza ...
Hawa watu wa mataifa mengine wao huwa wamekatazwa kulaumu?
Au wao wanaogopa kuingilia ujinga wetu maana washajua sisi hatuthamini muda?
Najiuliza tu, hii Tabia ya kulaumu na kujilaani nchi na kujilaani badala ya kutafuta suluisho au kupotezea kama tumekubali kushindwa chanzo chake ni nini?