Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

Africa yalikuaga makazi ya shetani kabla ya mzungu kuleta dini, usishangae sana.
 
Wengine Hadi vitu vya kawaida tu anaogopa kujieleza. Japo wabongo ukiwaambia ukweli wanaambiana jamaa mjuaji Wanaanza kukuvizia uingie kwenye KUMI na nane ZAO wakusulubu. Hasa KWA wanyonge kama walimu.
 
Mbulumbundu ni jina la panzi flani hivi wanapatikana Sana pwani hasa Moro. Yale mapanzi ni ya hovyo sana unawezayafananisha na mtu aliyerogwa halafu anajishangaa
 
Siyo wote acha mjumuisho rejareja. Mie sijishangai bali na kushangaa wewe unayedai watanzania wote tunajishangaa ili iweje na katika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…