MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine.
Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni kuwarahisishia wachawi kazi.
Kuna wengine wanaenda mbali kwa kupost insta story. Majuzi nimeona mdada maarufu wa Kenya aliyeolewa kapost kumkumbuka aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa ni marehemu. Akaandika maneno mengi ya mahaba kiasi kwamba nikajiuliza mumewe wa sasa anajisikiaje?
Tuache hii tabia sio nzuri.