MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Huyu homeboy atatumika kama mfano kwa wengine. 😄
HakikaHuyu homeboy atatumika kama mfano kwa wengine. 😄
Nyani haoni kundule.. Huoni mipasho yako dhidi ya CDM na wengine ?Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni kuwarahisishia wachawi kazi.
Kuna wengine wanaenda mbali kwa kupost insta story. Majuzi nimeona mdada maarufu wa Kenya aliyeolewa kapost kumkumbuka aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa ni marehemu. Akaandika maneno mengi ya mahaba kiasi kwamba nikajiuliza mumewe wa sasa anajisikiaje?
Tuache hii tabia sio nzuri.
Duuuuuh!!!Nilikuwa na mahusiano na kidem kimoja kizur, nikasafir kama mwaka hiv, nilimuaga vizur tukawa tuna mahusinao ya mbali
Kurudi nikamkuta ana ujauzito wa miez minne, tuliongea tu vizuri tukaelewana kila mtu akala 50 zake
Sasa yule aliyemtia mimba baada ya dem kujifungua akamkataa mtoto na yeye pia, dem akawa single maza asiye na matunzo
Hapo tuna mawasiliano yaani ana namba zangu na mimi nna namba zake
Sasa kuna siku niliweka post kuwa najifikilia kuoa so nikaweka post kuwa soon nitaoa kuwa nimepata mwenza wa kuoa
Khaa si akaweka post anajibu ile post kwa kusema “ maisha magumu tafuteni pesa kwanza then ndio muoe “
Aisee nilimjibu vibaya mpaka nikajusikia vibaya mm mwenyewe
Niliandika “ single maza subiria upate mabwana wengine wakuzalishe hata watoto kumi na mababa tofauti ndio uolewe..
Daaah alinipigia sim kuniomba msamaha ah ah ah
😀😀 Bado mnapendana.Wanakuwa bado wanapendana.
Mimi ex wangu ananiwekea vitisho vya kupenda mwanamke mwingine nikicheka ananuna anaona nimemdharau..!!
Kiukweli kweli namdharau yeye mpk huyo demu..!! Naona wote wakiungana bado hawafikii nilivyo 😹😹😹
Sasa hivi nimeamua kummute lakini bado ananifata bila kujua mimi namsaidia yeye ku heal..!!
Kwa maelezo yako mbona wewe na huyo Single maza hamna tofauti?Nilikuwa na mahusiano na kidem kimoja kizur, nikasafir kama mwaka hiv, nilimuaga vizur tukawa tuna mahusinao ya mbali
Kurudi nikamkuta ana ujauzito wa miez minne, tuliongea tu vizuri tukaelewana kila mtu akala 50 zake
Sasa yule aliyemtia mimba baada ya dem kujifungua akamkataa mtoto na yeye pia, dem akawa single maza asiye na matunzo
Hapo tuna mawasiliano yaani ana namba zangu na mimi nna namba zake
Sasa kuna siku niliweka post kuwa najifikilia kuoa so nikaweka post kuwa soon nitaoa kuwa nimepata mwenza wa kuoa
Khaa si akaweka post anajibu ile post kwa kusema “ maisha magumu tafuteni pesa kwanza then ndio muoe “
Aisee nilimjibu vibaya mpaka nikajusikia vibaya mm mwenyewe
Niliandika “ single maza subiria upate mabwana wengine wakuzalishe hata watoto kumi na mababa tofauti ndio uolewe..
Daaah alinipigia sim kuniomba msamaha ah ah ah
Tunafanana na wewe na sisi pia hatuna tofautKwa maelezo yako mbona wewe na huyo Single maza hamna tofauti?
Unachukia nini sasa na wakati haya ndiyo mambo yenu nyinyi vitoto vya 2000! Mkitoka kwenye kupigana vijembe vya hizo status zenu mnahamia Facebook na Tiktok kukata viuno.Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine.
Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni kuwarahisishia wachawi kazi.
Kuna wengine wanaenda mbali kwa kupost insta story. Majuzi nimeona mdada maarufu wa Kenya aliyeolewa kapost kumkumbuka aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa ni marehemu. Akaandika maneno mengi ya mahaba kiasi kwamba nikajiuliza mumewe wa sasa anajisikiaje?
Tuache hii tabia sio nzuri.
sawa sawa seraaan [emoji2]Ukisusa wenzio twala..[emoji2960]
Ujingaujinga tu 🚮sawa sawa seraaan [emoji2]