matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ndoa kiroho ni agano.
Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia.
Siku hiyo unasaini hati ya
Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani
Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini.
Maisha ya migogoro au amani
Nini ufanye.
Fanya utafiti wa kutosha kusidio na mwenzako kuingia katika hiyo ndoa ni hicho unachofikiri wewe ay anaajenda tofauti?
Kubali matokeo ya agano uliloingia kwa kupuuza taadhari ulizoziona kabla ya siku ya kusaidi hati ya agano.
Siandiki hili kukutisha. Ninaandika kukusaidia kuchagua kwa umakini ni nani unayeamua kuingia naye mkataba wa maisha bila kushawishiwa na mtu yoyote.
Ni hayo tu.