Hii Timu Imechaguliwa kwa Ubaguzi sana, Alafu kuna Mzungu Mtanzania!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!.

20230324_180955.jpg

☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
 
Although nawatakia ushindani wenye tija kwa taifa.
 
Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!.

View attachment 2564061
☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
Daah mechi imeisha vijana wamecheza vizuri...tukiwafunga na hapa wakija na wale Niger wakipotea hapo Taifa tutakua na point 10 ambazo tunaweza kufuzu..
 
Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!.

View attachment 2564061
☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
Kuwa mzungu ni dhambi?
 
Ukiangalia mpira kweli au ulikuwa mtungi na k vant
 
Back
Top Bottom