Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Voda gb zao zinaisha haraka sana,kifurusi cha elfu 10 gb 10 kwa wiki uwa kinaisha ndani ya siku 3 na hapo matumizi ni ya kawaida tu,nadhani ukitumia kwa kuangalia youtube,netflix au video yoyote online gb 10 zitaisha ndani ya masaa 10Nilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao
Hio GB ukimaliza nayo siku 3 uje nikuongeze buku lingineNasikia halotel offer Yao mdogo ni 1GB kwa buku wiki nzima. Nataka niwajaribi Hawa jamaa. TTCL sina taarifa zao, Ila mitandao inatunyonya sana kwasisi tunayoishi kwa shuguri za online
Kwangu Bado ipo mkuu.. Ndo natumiawameshabadili tena, Mitandao ya kipumbavu namna hio siwezi tumia
Ngoja nijaribu mzee babaHio GB ukimaliza nayo siku 3 uje nikuongeze buku lingine
Mitambo gani?