Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah mtapigwa mtachakaa mwaka huu 😂😂😂!!! Mnapenda kukaza ubongo sana watanzania wacha mie niendelee kuinjoyNimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Hahahahah kama hiko kifurushi kitamaliza mwezi wa pili huu uje nikupe bia zako mkuu;Njoeni Halotel mimi nimehamia huku loyal bandle elfu kumi unapata dakika 1000, Gb 14, sms bwerere mwezi mzima nishasahau kuweka vocha natwanga tu mitandao yote
Katika moja ya sifa ya huduma bora lazima iwe Reliable. Ila hali ni tofauti kwa hii mitandao mitatu mikuu ntaiita "3 Musketeers" Voda, Tigo na Mpwa wao Halotel.Ni suala la muda mkuu.
Nikuunganishe na mtandao wa majini ?Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Thamani ya 15000 ni Gb 15 kwa kawaida sasa hii ili iwe offer ilitakiwa iwe ni gb 20 na sio 12 hapo bado ni gharamaAirtel SUPA 4G in your town!. Enjoy 4G SUPERFAST SPEED with Airtel. Get 12 GB for 7 days at just Tsh15,000. Dial *149*99# select 5 (Internet) then Weekly
Tutonyane hilo chimbo mkuuKatika moja ya sifa ya huduma bora lazima iwe Reliable. Ila hali ni tofauti kwa hii mitandao mitatu mikuu ntaiita "3 Musketeers" Voda, Tigo na Mpwa wao Halotel.
Wao reliability ya vifurushi pendwa kwao haitoboi miezi miwili. Kila siku vifurushi vinapinduliwa tu left & right! Ila nashukuru mtandao niliopo mwaka wa 3 i still enjoy the same quality of service. Toka nimewahama hao matapeli sijawahi kujuta.
Unatumia mtandao gani bashwee ?Katika moja ya sifa ya huduma bora lazima iwe Reliable. Ila hali ni tofauti kwa hii mitandao mitatu mikuu ntaiita "3 Musketeers" Voda, Tigo na Mpwa wao Halotel.
Wao reliability ya vifurushi pendwa kwao haitoboi miezi miwili. Kila siku vifurushi vinapinduliwa tu left & right! Ila nashukuru mtandao niliopo mwaka wa 3 i still enjoy the same quality of service. Toka nimewahama hao matapeli sijawahi kujuta.
Unatumia mtandao gani bashwee ?
njoo pm kwa maelekezo...Wachawi wakizidi itakuwa jau.Unatumia mtandao gani bashwee ?
oo p.m nikuelekeze. Huku hatutaki kukaribisha wachawi
Haina kwerenjoo pm kwa maelekezo...Wachawi wakizidi itakuwa jau.
Kwanza kuhama mitandao ni tabia za kitoto. Watu wanakutafuta kwa namba fulani waliozoea hupatikani inakuaje???Hii mitandao ya simu kuihama kwa kufuata urahisi wa kitu fulani upande wa pili ni sawa na kujichosha tu + kuingia gharama kwa kuhudumia line zaidi ya moja sababu mwisho wa siku mitandao yote Baba yao mmoja na Mama yao mmoja.
Na ndio sababu hata hizo Ofa huwa si za mwendelezo bali ni za muda tu.
Kwani si kuna simu extra mkuu, unaweza kuwa na Primary phone(Smartphone) na Secondary Phone (Kitochi). Kila simu inabeba line 2. Mitandao iko Mitano So problem solved.Kwanza kuhama mitandao ni tabia za kitoto. Watu wanakutafuta kwa namba fulani waliozoea hupatikani inakuaje???
Aisee! Nahamia hukoTTCL Tam Tam plus
sh 500 = mb 600 24 hrs
sh 1000 = gb 1.2 wiki
dakika na sms included
Siku Azam akifunga mitambo ndo vita ya dunia itaanza
Yawezekana Wana upendeleoKama ni voda unawasingizia. Japo huwa wana huo ujinga mara mojamoja lakini mimi nafurahia huduma zao nzuri kwa bei ya juu[emoji16][emoji16] 1GB nadownload movies 2 zenye 400MB @ na bado naperuzi jf na whatsap kwa muda wa kutosha
Halotel ukiwa nje ya mji tu kidogo internet inazidiwa kasi hata na kinyongaNjoeni Halotel mimi nimehamia huku loyal bandle elfu kumi unapata dakika 1000, Gb 14, sms bwerere mwezi mzima nishasahau kuweka vocha natwanga tu mitandao yote
500mb mimi hazinitoshi hata kwa siku. Shughuli nyingi nafanyia mtandaoni. Wacha nijaribu ttclNi kweli wamepunguza hata kwangu, Ila ile ya 150dk na 500mb kwa wiki bado ipo, kwangu ndio inayonipa jeuri kwa Airtel. Wakiitoa hii nahamia halotel
Tatizo network coverage yao ni ndogo,unaweza kuwa mjini kuna sehemu hupati network