Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Chadema tukishika hatamu tutawafilisi wote hao hata wakikimbilia nje ya Nchi tutatumia Interpol kuwakamata na kuwarudisha ili wakanyee debe.
Magufuli.Ni nani aliyewaweka madarakani hao ndugu unaowalalamikia???
Mbona bado lina plate No.STL......?Labda serikali ilishauza hilo
Wakoloni weupe pia walikuwa wakisema hivyo hivyo kuhusu TANU kuwa hawawezi kushika Dola ati ni chama cha wanywa kahawa.Chadema hii ya akina Mbowe walamba asali. Thubutu!!
Si ni raia? Au wamefanya mapindizi? Na raia ndio wanapaswa kuwaondoa kwa kura au kwa njia zingineNi nani aliyewaweka madarakani hao ndugu unaowalalamikia???
Namba zimeshatolewaMbona bado lina plate No.STL......?
Usijisahau kwamba siku ile ulikipigia kura ya ndio chama pendwa ambacho ndo kinaiongoza inji hii na ndicho kinatupelekesha hivo.Magufuli.
Kwenye hili mambo kwamba Katiba mpya haiwezi kuondoa huu wizi umeitoa wapi?? Kwa nini umeingizia mambo ya Katiba mpya??Si ni raia? Au wamefanya mapindizi? Na raia ndio wanapaswa kuwaondoa kwa kura au kwa njia zingine
Duh! Kama ni hivo basi hiyo ni mbaya zaidi kwani mali ya Serikali huuzwa kwa njia ya uwazi i.e. mnada.Namba zimeshatolewa
Watu hawana Uchungu na Kodi zetuNakumbuka Enzi hizo mzee ni kigogo Serikalini
Gari inakuja kutuchukua morogoro kwenda dodoma likizo, ilikua ikifika haizimwi mpaka tujiandae tunywe Chai waweke mizigo then tuondoke
Sikuelewa Ile kitu mpaka nlivyokua mkubwa na kuelewa kwamba Mali za umma zinachezewa kweli kweli sio kidogo
Kura yangu iliporwa na Magufuli na CCM yake.Usijisahau kwamba siku ile ulikipigia kura ya ndio chama pendwa ambacho ndo kinaiongoza inji hii na ndicho kinatupelekesha hivo.
Watu hawana uchungu na thamani ya Kura yao siku ya kupiga kura. Huona ni kama ka mchezo-mchezo fulani hv tu halafu sasa tunalialia hapa.Watu hawana Uchungu na Kodi zetu
Inaweza kuwa iliuzwa kwa njia hio mnunuzi amepaki hapo si unaskia jamaa kasema imekaa miezi 3 lakn haina hata vumbi hapoDuh! Kama ni hivo basi hiyo ni mbaya zaidi kwani mali ya Serikali huuzwa kwa njia ya uwazi i.e. mnada.
Jeshi liingilie Kati Haya Mambo Watu wanakula Ila Hakuna KinachofanyikaMama ni dhaifu, ila tunafanyaje? kweli tuendelee kumtegemea yeye? kwa haki hii?
She doesn't even have a clue what she is supposed to do.Samia hajui anaipeleka wapi Tanzania