Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Nakumbuka Enzi hizo mzee ni kigogo Serikalini

Gari inakuja kutuchukua morogoro kwenda dodoma likizo, ilikua ikifika haizimwi mpaka tujiandae tunywe Chai waweke mizigo then tuondoke

Sikuelewa Ile kitu mpaka nlivyokua mkubwa na kuelewa kwamba Mali za umma zinachezewa kweli kweli sio kidogo
 
Watu hawana Uchungu na Kodi zetu
 
Daah mbona hawa viongoz wanaiba sanaaa
Kule bunda wameiba vifaa vya hospital

Ile hii tabia ya kulinda na kuteteana ndiyo itaangamiza taifa

Kuoneana aibu tabia mbaya sana na ya ovyoo
Shaur yenu
 
Back
Top Bottom