Hii video ya jamaa anatishia polisi,ni mkakati mpya wa destabilization ya serikali ya awamu hii!!?

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni!

Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi wanaowaongoza!!?

Kama mkakati huo ukitekelezwa mbona Hali itakua mbaya sana aiseh!!?nyie mwaonaje!!?

Tumefikia pabaya sana kama taifa,ni rasmi tumevuka mstari was uzalendo na hatma ya taifa hili!!

Mungu atusaidie katika kipindi hiki kigumu tunachopitia!!
 
Video umeiweka kwenye vault?
 
Huwajui polisi wa bongo ww,hao jamaa ni majambazi yaliyopewa sare na silaha.
Aisee! Kwamba inaweza kuwa ni mbinu ya Abdul na kundi lake kutaka kuangamiza wenye maoni kinzani dhidi ya serikali ya mamake. Halafu watasingizia waasi .

Kama bakuelewa hivi!!!?
 
1769546757808.png
 
Kitu Gani kimetokea
 
Kuna video inasambaa jamaa kavaa maski kaficha uso wake, anaongea kuwa tayari kikundi cha waasi kimeundwa ambacho kazi yake itakuwa ni kupambana na serikali pamoja na watekaji.
Shukran kwa ufafanuzi. Inapatikana wapi weka link au naiomba pm
 
Back
Top Bottom