RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Video umeiweka kwenye vault?Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni!
Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi wanaowaongoza!!?
Kama mkakati huo ukitekelezwa mbona Hali itakua mbaya sana aiseh!!?nyie mwaonaje!!?
Tumefikia pabaya sana kama taifa,ni rasmi tumevuka mstari was uzalendo na hatma ya taifa hili!!
Mungu atusaidie katika kipindi hiki kigumu tunachopitia!!
LePolisi hawana shida,
Aliyewatuma ndiye atafikiwa kwa namna ya ajabu sana.
Polisi hawana shida,
Aliyewatuma ndiye atafikiwa kwa namna ya ajabu sana.
Nawajua sana,Huwajui polisi wa bongo ww,hao jamaa ni majambazi yaliyopewa sare na silaha.
Hao uwaitao majambazi,mbona hawajawahi kuiba mkoba wa ss au Ile saa ya mamilioni?Huwajui polisi wa bongo ww,hao jamaa ni majambazi yaliyopewa sare na silaha.
Aisee! Kwamba inaweza kuwa ni mbinu ya Abdul na kundi lake kutaka kuangamiza wenye maoni kinzani dhidi ya serikali ya mamake. Halafu watasingizia waasi .Huwajui polisi wa bongo ww,hao jamaa ni majambazi yaliyopewa sare na silaha.
Kitu Gani kimetokeaAisee! Kwamba inaweza kuwa ni mbinu ya Abdul na kundi lake kutaka kuangamiza wenye maoni kinzani dhidi ya serikali ya mamake. Halafu watasingizia waasi .
Kama bakuelewa hivi!!!?
Wht happenedAkimwagwa mavi njooni mlalamike hapa
Kuna video inasambaa jamaa kavaa maski kaficha uso wake, anaongea kuwa tayari kikundi cha waasi kimeundwa ambacho kazi yake itakuwa ni kupambana na serikali pamoja na watekaji.Kitu Gani kimetokea
Andika kiswahili tuu we unaonekana huna hata D 1Why happened
Ai keyboardAndika kiswahili tuu we unaonekana huna hata D 1
Shukran kwa ufafanuzi. Inapatikana wapi weka link au naiomba pmKuna video inasambaa jamaa kavaa maski kaficha uso wake, anaongea kuwa tayari kikundi cha waasi kimeundwa ambacho kazi yake itakuwa ni kupambana na serikali pamoja na watekaji.
Ai keyboard
Niliandika WHT yenyewe ika predict neno WHY
Ni kweli Sina hata D1