ICC kesi itaungurruma soon, na uataona wataopandishwa kizimbani ikiwa watakuwa viongozi wao au la.Wapo wenye shida.
Utakuwa na wakati mgumu sana kunishawishi nikubali kwamba Jumanne Muliro hana shida; au ACP Awadh hana shida, na wengi wengine wa aina hiyo..
Hao waliokuwa wanaranda randa mitaani wakiuwa waTanzania kama wanyama, uniambie wao hawana shida kabisa, ila aliyewatuma? Wao hawana utashi wa kuamua matendo yao kwa vile tu wametumwa?.
Ndiyo, wapo polisi wengi ambao wanapata taabu kubwa sana kutumikishwa kutenda maovu katika utawala huu; lakini pia wapo wabovu kabisa kama hao waliotajwa hapo juu.
Lakini kuna mambo yanashangaza sana miongoni mwa waTanzania:
Chukulia kwa mfano maneno haya yaliyonukuliwa kwenye mada hii ya mkuu "RESILIENT KETO':
"Kama mkakati huo utatekelezwa, mbona hali itakuwa mbaya sana"? Kwani hali sasa hivi bila ya huo mkakati ipo sawa?
"Tumefikia pabaya sana kama taifa; ni rasmi tunavuka mstari wa uzalendo...." Hivi uzalendo ni kukubali uovu na kuunyamazia; au mleta mada ana maana gani hapa?
hawa wanaowaua waTanzania ili wabakie madarakani, ndio wanaojuwa uzalendo ni nini? Ukiwapinga hawa unakosa uzalendo?
Ni mambo ya kushangaza sana haya!
vijana uku kwetu wanasubili hizo code kwa shauku kubwa mnoWatoe code ya namna ya kujiunga nao
Huko parokiani mnapata shinikizo la damu kisa ushungi kuwa ikulu, mbuzi sana nyieIlikuwa hamu ya moyo wangu kuliona hili katika majira kama haya .Ungekuwa vizuri wangeanza hawa vibaraka Lucha Tui gallow bird kavulata HAYA LAND HOV MamaSamia2025
Mtihani mkubwa huu sasa.Kuna video inasambaa jamaa kavaa maski kaficha uso wake, anaongea kuwa tayari kikundi cha waasi kimeundwa ambacho kazi yake itakuwa ni kupambana na serikali pamoja na watekaji.
Nyumbu wewe toka uandamane upelekwe akhera mama yako aggregate mbele ya AyotvIlikuwa hamu ya moyo wangu kuliona hili katika majira kama haya .Ungekuwa vizuri wangeanza hawa vibaraka Lucha Tui gallow bird kavulata HAYA LAND HOV MamaSamia2025
Mwezi? Wiki 1 tu inatoshaKila siku wakiuliwa polisi kama kumi hivi baada ya mwezi hakuna polisi atakubali kuvaa magwanda tena,warlike wao na familia zao tuone kama wataendelea kutii amri za kishetani na kihalifu za CIC .
Wewe lazima nikufireNyumbu wewe toka uandamane upelekwe akhera mama yako aggregate mbele ya Ayotv
Hakuna huruma kwa nyumbu
Ni aibu kusema kwamba waliotoa amri kuwaua raia October 29 kwamba ni wazalendo!Wapo wenye shida.
Utakuwa na wakati mgumu sana kunishawishi nikubali kwamba Jumanne Muliro hana shida; au ACP Awadh hana shida, na wengi wengine wa aina hiyo..
Hao waliokuwa wanaranda randa mitaani wakiuwa waTanzania kama wanyama, uniambie wao hawana shida kabisa, ila aliyewatuma? Wao hawana utashi wa kuamua matendo yao kwa vile tu wametumwa?.
Ndiyo, wapo polisi wengi ambao wanapata taabu kubwa sana kutumikishwa kutenda maovu katika utawala huu; lakini pia wapo wabovu kabisa kama hao waliotajwa hapo juu.
Lakini kuna mambo yanashangaza sana miongoni mwa waTanzania:
Chukulia kwa mfano maneno haya yaliyonukuliwa kwenye mada hii ya mkuu "RESILIENT KETO':
"Kama mkakati huo utatekelezwa, mbona hali itakuwa mbaya sana"? Kwani hali sasa hivi bila ya huo mkakati ipo sawa?
"Tumefikia pabaya sana kama taifa; ni rasmi tunavuka mstari wa uzalendo...." Hivi uzalendo ni kukubali uovu na kuunyamazia; au mleta mada ana maana gani hapa?
hawa wanaowaua waTanzania ili wabakie madarakani, ndio wanaojuwa uzalendo ni nini? Ukiwapinga hawa unakosa uzalendo?
Ni mambo ya kushangaza sana haya!
Niliiona Instagram halafu hata sikumbuki aliyeipost, niliiona tena nitafanya kuiletaShukran kwa ufafanuzi. Inapatikana wapi weka link au naiomba pm
Hiyo video nimeiona ila kilichofanya nishangae ni kwanini haijawa gumzo mitandaoni?
Shukran kwa ufafanuzi. Inapatikana wapi weka link au naiomba pm
Ushungi wa uzeeni huo hamna kitu pale.Huko parokiani mnapata shinikizo la damu kisa ushungi kuwa ikulu, mbuzi sana nyie
Niseme kuwa mara nyingi napata shida kuelewa 'thought process' yako ilivyo. Hii siyo mara yangu ya kwanza kukushangaa katika haya maneno uliyoandika hapa. Sasa kweli hujui kwa nini nikushangae na ibidi nikueleze kwa nini ninakushangaa kwa fikra kama hizi ulizoonyesha hapa!Hatari iliyopo ni kwamba wanaoweza kufanya process ikawa safe nao wamekaa kimya Hadi vijana kama Hawa Sasa wanataka kuchukua Sheria mkononi "hii ni hatari sana" ujue kama polisi wakihisi hawapo safe kutekeleza majukum yao kizalendo nani atalinda raia!!?
Wewe unataka dawa gani, wakati upo chini ya jambazi lililokushikia mitutu ya bunduki; halafu hata hutaki kutafuta njia ya kujiokoa toka kwenye utekwaji wako huo. Unafanya urafiki na jambazi ili likuache uwe huru?Madai ya huyo black mask siyo dawa ya kutibu jeraha lililotokea coz ikitokea ni rasmi Tanzania haitokua salama Tena na Wala matumaini ya usalama wenyewe yataisha!