Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

kwani hizo sanctions zimeanza leo 2014 obama alimwekea,kikubwa hata ni puzzle game,U.S.A anategemea OUTPUT fulani ila kakutana na kichwa time will tell...
Muwe mnasoma na kuelewa vikwazo alivyowekewa Urusi ni vibaya maana hadi Swift imefungwa anga lote la Ulaya limefungwa kwa ndege zote zilizosajiliwa Urusi
 
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.

Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!

Una kichaa wewe si bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo gesi Germany kaitolea wp kwa Nani? Wakati Russia Ndio msambazaji mkubwa huko EU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…