Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Hello

Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa.

Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga

​
 
wazanzibar wenye akili wanasikitika matendo yanayofanywa na serikali.
Warioba alisema watanganyika wapewe serikali yao kabla hawajaidai na tunakoelekea watanganyika wameshaanza kudai serikali yao.
Halafu hakuna wazanzibara atuheshimu.
 
Kweli aisee muungano uvunjwe tu..haiwezekani mzanzibar awe raisi wa Jamhuri ila mtanganyika asiwe raisi wa Zanzibar.
 
Zanzibar wametuletea vifo tu vya vijana wa Tanganyika. Kiukweli ni hasara kuungana na hawa wala urojo
 
Toka Maza kaingia Madarakani KIBURI cha Wazanzibar kimeongezeka sana. Hii ndiyo sababu hata ya ACT Wazalendo kutulia as if nothing has happened to them. Tatizo siku Samia akitoka madarakani wataanza tena kuja na malalamiko yao kama kawaida as if sasa yameondoka.
 
Na hatuwezi kuendelea kuwa mateka wa waarabu. Wazanzibar tutwakata vichwa na tutawafukuZa nchini mwetu
 
Popote ukikutana na mtu anayeongea kiswahili ugenini atajitambulisha ni mtanzania, mkenya [ambao lafudhi yao ya kiswahili inajulikana hata akiongea sheng ile " .

Ila kwa mzanzibari hawezi kujitambulisha kama mtanzania bali mzanzibar, sasa ikupe picha halisi kwamba licha ya muungano wa miaka 65 bado hakuna total blending kuna upande mmoja bado una identity yake halisi na mwingine ulishaipoteza tangu siku ya kwanza kuungana.
 
This is ridiculous.

Tatizo la CCM mnahangaika kulifanya la Watanganyika na Wazanzibari? Tena huku mkiendelea kuwashabikia waliowaletea na wanaoendelea kuwatwisha zigo hilo na wao wakiendelea kula nchi kwa raha zao?
 
Kweli aisee muungano uvunjwe tu..haiwezekani mzanzibar awe raisi wa Jamhuri ila mtanganyika asiwe raisi wa Zanzibar.
Haya yote yamo ndani ya katiba. kama hamtaki basi tuyaeleze kwenye katiba.
Nyerer ndio aloanzisha.
Wazanzibari walipinga sana.
Karume mkubwa alipinga na akasema mengine mwisho kisiwa cha Chumbe na mungano kama koti likikubana livue.
Raisi wa pili Jumbe akata serikali tatu, akafukuzwa na kuweka kifungo chandani.
Raisi wa tatu ABdul wakil ali kaa kipindi kimoja tuu na kuondolewa.
Raisi wa Nne Ali Hassan mweinyi hakumaliza muda akawa raisi wa tanzania kuzima maneno maneno
Raisi wa Tano Kamandoo Salmin alikuja na hilohilo la saerikali tatut na akataka awe raisi wamilele. akabanwa
Chama cha CUF kilipi taka serikali tatu. Na kilishinda chaguzi zote lakini hakijapewa serikali.
ACT wazalendo zanzibar ajenda yake ni hiyo lakini pia haija pewa serikali na kushinda kote huko.
Huko bara hakuna alofunguwa kinywa kuhusu serikali isipokuwa Mtikila tuu.

Sasa leo mnasema nini.
 
Hello

Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa.

Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga

gentleman,
kwasasa watanganyika si watakua wamebaki chini ya 500?
halafu pia huenda ni wazee mno kama vile mzee warioba na generali ulimwengu right?
 
Huu upuuzi aliuleta Nyerere na CCM wanazidi kuubariki.
Utajikuta unashiriki katika lawama zisizokuwa na msingi..

Hiyo CCM unayoizungumzia hapa haikuwahi kuwepo wakati wa Nyerere.

Kwa hiyo kumlalamikia Nyerere kwenye mambo ambayo hayakupangwa wakati huo kuwa kama yalivyo leo ni kukosa umakini wa kuchambua mambo.

Naamini uwezo wa kuchambua na kujuwa uhalisia wa mambo unao, ukiamua kukaa chini na kulipa tafakuri sahihi jambo husika.

Nyerere hahusiki na chochote katika upuuzi unaofanyika leo.
 
Haya yote yamo ndani ya katiba. kama hamtaki basi tuyaeleze kwenye katiba.
Nyerer ndio aloanzisha.
Wazanzibari walipinga sana.
Karume mkubwa alipinga na akasema mengine mwisho kisiwa cha Chumbe na mungano kama koti likikubana livue.
Raisi wa pili Jumbe akata serikali tatu, akafukuzwa na kuweka kifungo chandani.
Raisi wa tatu ABdul wakil ali kaa kipindi kimoja tuu na kuondolewa.
Raisi wa Nne Ali Hassan mweinyi hakumaliza muda akawa raisi wa tanzania kuzima maneno maneno
Raisi wa Tano Kamandoo Salmin alikuja na hilohilo la saerikali tatut na akataka awe raisi wamilele. akabanwa
Chama cha CUF kilipi taka serikali tatu. Na kilishinda chaguzi zote lakini hakijapewa serikali.
ACT wazalendo zanzibar ajenda yake ni hiyo lakini pia haija pewa serikali na kushinda kote huko.
Huko bara hakuna alofunguwa kinywa kuhusu serikali isipokuwa Mtikila tuu.

Sasa leo mnasema nini.
Imebidi nikupe 'like' pamoja na kwamba sikubaliani nawe kwenye ufafanuzi wa uliyoyaweka hapa kwa mtiririko unaoeleweka.

Kitu ambacho hutaweza kukieleza, au kukikubali ni kwamba mashinikizo ya uamzi wa yote uliyoorodhesha ulitokana na waZanzibari ndani ya CCM. Hawa ndio waliowayumbisha kila mara CCM wote.
Ni kama walikuwa na kura ya veto iliyoogopwa sana na hawa wenzao toka Tanganyika.

Hili ndilo huwa wazanzibari hawataki kuli' acknowledge'.

CCM wa Zanzibar miaka yote wanao mateka wao wa CCM toka Tanganyika hasa katika vikao vyao vya juu vya maamuzi muhimu.

Na hadi leo hali imekuwa ni mbaya zaidi ndani ya CCM kiasi kwamba akina Samia wameamua kushika robota la chama kama zigo la kufanyia uhalifu kwa waTanzania.
 
Back
Top Bottom